Kanzu/baibui liwe vazi la taifa

Kanzu/baibui liwe vazi la taifa

Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

Kimaadili naunga mkono hoja 1000% ila sasa kwa inshu za udini zinazo nukia nukia !!itakuwa inshu.
 
Wewe unafikiri matatizo yetu yanatokana na sisi kutokuvaa kanzu na baibui? Je tukivaa kanzu na baibui tutapata bara bara, maji safi, elimu, afya, na ajira? Changanya a za kwako kaka. Usikubali kuambiwa tuuu....
 
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

Mwanazuoni gani wewe, hilo vazi liwe la taifa gani? Yaani unataka wanawake na wanaume sote tuvae madela? Nyambafu.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Mbona hili vazi la kanzu viongozi wa kitaifa wanavaa

Hata mkapa,lowasa,mwinyi kikwete hili vazi linafaa

Kwanin kikwete hakulizungumza kwenye hotuba yake?
 
Kuna watu sijui wanafikiriaga nini..... Seriously?
 
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

Ndo maana mnamwiga mwarabu kila anachofanya, akivaa msuli bila kitu ndani nawe unamwiga!
 
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.
Isiishie hapo napendekeza iwe ndo uniform ya majeshi yetu na wanafunzi wa mashule yote!
 
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.
Ili mfiche hayaaa

10151826_1408974669364037_919610535_n.jpg
 
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

Umesahau na UBWABWA pia kiwe ndo chakula cha taifa na kitajwe Wazi kwenye KATIBA MPYA :eyebrows::eyebrows:
 
Ndugu yangu huna haja ya kuzunguka mbuyu, wewe kuwa wazi kuhusu dini unayoipendekeza iwe ya taifa wacha kuitaja kimafumbo kupitia mavazi.

Mkuu umesema vyema, hapa naona kuna harufu ya kutaka dini yake iwe ni dini ya nchi/taifa. Anaota mchana.
 
Wewe unafikiri matatizo yetu yanatokana na sisi kutokuvaa kanzu na baibui? Je tukivaa kanzu na baibui tutapata bara bara, maji safi, elimu, afya, na ajira? Changanya a za kwako kaka. Usikubali kuambiwa tuuu....

Mmeshatembea nusu uchi ama uchi haswaaaaa miaka mingap ya uhuru/?je ivyo ulivyoviorodhesha mmevipata kwaiyo style ya mwendo wa uchi?
 
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

vazi la kitaifa halitokani na maoni ya wanazuoni bali ni ridhaa ya wananchi wanaojua thamani ya utu wao. huwa ni vazi linaloweza kuvaliwa na watu wote. vazi unalopendekeza hata msabato hatakubali kuvaa kwani ni la waislamu pekee
 
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

sure mkuu, na kahawa kiwe kinywaji cha Taifa, Tende ziwe chakula cha Taifa na Kandambili ziwe viatu vya Taifa.

Pia wamasai waachane na kufuga ng'ombe na badala yake wawe wanafuga ndevu kwani wao ni alama ya Taifa tunayojivunia hapa nchini
 
Back
Top Bottom