Kanzu/baibui liwe vazi la taifa

Kanzu/baibui liwe vazi la taifa

Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

WATUMWA WA MAGHARIBI HAWAWEZI KUKUELEWA HATA KIDOGO.....wenyewe wanataka watokelezee kama obama,wengine kama Beyonce, wengine kama 50 cent...wanaume wavae hereni kama chris brown....baadae watataka kuwa wasagaji kama kina madona,na wanaume watataka kuwa mashoga kama elton john....baadaye kabisa wanawake watataka kufanya mapenzi na hadi mbwa....Poleni sana SLAVE OF THE WEST....
 
slave of east
 
hivi ni kweli wavaa kanzu na baibui hawavai chupi?
 
Hii thread nimecheka mpaka machozi yamenitoka.
 
Mwanazuoni gani wewe, hilo vazi liwe la taifa gani? Yaani unataka wanawake na wanaume sote tuvae madela? Nyambafu.

Astakafillulah wewe unaita kanzu Dela! Jiangalie Mkuu!
 
Na msikiti wa k.koo,uwe ukumbi wa bunge,tumemaliza!!
 
Kweli wanazuoni wa madrasa mna kazi! na magamba yenu inawezekana maana hakuna hoja kule ila nguvu tu na ubabe wa kuvaliana mabomu ndani ya mavazi hayo.
 
wewe m.p.u.m.b.a.vu nini umeambiwa kila mtu ni muislamu...

heh maajabu kumbe na padre nae ni muislamu maana anavaa mpaka kile cha kichwani na sista nae atakua muislam vile vile!pingana na mtoa mada kwa kwa ubunifu kidogo"
binafsi naona itakua ngumu japo hayo ni mavazi matakatifu.
 
Sisi wanazuoni
tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi
kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

kiarabu lugha ya taifa na islaam dini ya taifa, mmeanza eeeeeeeeeeee hayaaaaa lakini siyo Tanganyika
 
hivi ni kweli wavaa kanzu na baibui hawavai chupi?

chupi ya nn sasa??ndo mana tunaoa wake wengi,ukifika tu unapandisha kanzu,na yeye anabinua baibui,kwishaa!unakwenda kwa mwingine hivo hivo,hadi mzunguko uishee
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

Mbona kule Pembandio vazi la kuendea mjini yaani la kitaifa lkn maendeleo ni duni hata chini ya Sumbawanga ? maendeleo hayaletwi na mavazi bali sera nzuri za serikali iliyopo
 
chupi ya nn sasa??ndo mana tunaoa wake wengi,ukifika tu unapandisha kanzu,na yeye anabinua baibui,kwishaa!unakwenda kwa mwingine hivo hivo,hadi mzunguko uishee

magaidi bwana kama mmelogwa vilee
 
Back
Top Bottom