Mbona picha hazionyeshi?
badili simu hiyo kimeoMbona picha hazionyeshi?
Hahahahaaa..... hata mimi nshaona hilo tatizo.badili simu hiyo kimeo
Wengine ni mashetani tu wanao tembea.... kuwachunguza ni muhim.... kuna mpakaMungu awape nguvu wazazi wa watoto, mdada wa kazi siku zote ni mtu muhimu ndani ya nyumba, japo wengi wetu tunaona kutokana na kukosa kwake elimu, au umaskini wake ndo unakufanya kumdharau, kumfokea na kumnyanyasa hujui kama siku moja anaweza kukubadilisha hayo maisha yako na kukushusha kwa sekunde tu, Wasichana wa kazi ni watu wa kuwapenda, kuajali na kuwasikiliza na kuwafanya kama wanafamilia, na uwafunze watoto wako pia kumuheshimu, ukifanya hivyo jihesabu uko salama, huyu kaua imejuliksana kuna wengine watoto wao wanaendelea kunyanyasika huku hawana habari sabab ya matendo ya wazazi juu ya hawa wadada.
Mfanyakazi huko oman raia wa india amenyonga watoto na yeye kujinyongaView attachment 326367 View attachment 326368
Labda kwa Tanzania na Africa ndo maswala hayoWengine ni mashetani tu wanao tembea.... kuwachunguza ni muhim.... kuna mpaka
wachawi....
angalia simu kama memory ipo full,clear upate space picha za jf zitakuwa zinafunguka,ila kama storage imejaa hautaweza kuona picha za humu zote zitakuwa zinaonesha image imejatkaHahahahaaa..... hata mimi nshaona hilo tatizo.
Asante Mkuu, hilo tatizo nimesharekebisha tayari.angalia simu kama memory ipo full,clear upate space picha za jf zitakuwa zinafunguka,ila kama storage imejaa hautaweza kuona picha za humu zote zitakuwa zinaonesha image imejatka