Mkuu wahindi ni wachawi mbaya kabisa.....nawajua sana hawa watu..... kumbuka hawana Mungu wanaamini miungu kama Ganesha, Lakshimi, ganga etcLabda kwa Tanzania na Africa ndo maswala hayo
Ila na hao waarabu wamezidi kuwatesa hao wafanyakazimweee mwisho wa dunia sasa umekaribia yaani unaua viumbe wasio na hatia kisa kukosana na bosi wanko
Namaanisha hao maboss wa huko Oman hujawajuwa bado hata uwe mlokole unaweza ua, ukifatilia hiyo kesi utasikia alikuwa ananyanyaswa au wamemkatalia kwenda kwao.Mkuu wahindi ni wachawi mbaya kabisa.....nawajua sana hawa watu..... kumbuka hawana Mungu wanaamini miungu kama Ganesha, Lakshimi, ganga etc
Na wewe pia mnyanyase house girl wako uone kama atajinyonga mwenyewe!!Mijitu mingine nyoko zao, si lingejiuwa lenyewe tu.
mkinyanyasa sawa akiamua mnampangia,kawaua sababu naye ana wazazi pia safi dada.huwezi kujiua ukaliacha tatizo.nasema na wengine waige wajakazi wangapi wanauawa na kudhalilishwa arabuni.Mijitu mingine nyoko zao, si lingejiuwa lenyewe tu.
Ila na hao waarabu wamezidi kuwatesa hao wafanyakazi[/Qu/unanitumikisha,hunilipi,unaninyanyasa,unanitesa na yote mabaya ambayo binaadamu hatakiwi kutendewa.tena hiyo ni adhabu ndogo sana.ningekuwa mimi baada ya kuwanyonga ningewakatakata vipande vidogo dogo ili iwe ujumbe na fundisho kwa wote,wenye tabia ya kunyanyasa watoto wa wenzao.na hivyo vitoto utakuta na vilikuwa vinashiriki baadhi ya harassment.nasisitiza safi dada wa kihindi.we angalia afya ya huyo dada.
Amedhoofu kwa mateso.maninaaa
Mbona wa Oman wanasema siyo kweli tukio hilo limetokea Pakistan, na aliyewanyonga watu hao ni Baba mtu baada ya kuchukizwa na mkewe kuzaa watoto wa kike tu...Mfanyakazi huko oman raia wa india amenyonga watoto na yeye kujinyongaView attachment 326367 View attachment 326368
Hii imetokea nchini India Mumbai sio Nchi ya kiarabu Oman,ni baba mtu ameuwa familia yake mwenyewe.Pamoja na ndugu na mama ake mzazi,jumla watu 14,mmoja ndio kaponea chupuchupu,yuko hospitality.Huwenda aliwatilia vilevi kwenye vinyaji, akawauwaMfanyakazi huko oman raia wa india amenyonga watoto na yeye kujinyongaView attachment 326367 View attachment 326368
Tuma link tuoneHii imetokea nchi za wahindi,Pakistani sio Nchi ya kiarabu Oman,ni baba mtu ameuwa familia yake mwenyewe.