Kanusho La Kujiuzulu Kwa Wabunge Wa CUF

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,242
34,903
Hawajajiuzulu nimeongea na Mhe. Sakaya ni Propaganda dhidi yao

Kilichopo ni wabunge wa CUF kuomba ruhusa katika kamati zao na kwenda Znz Kuwasaidia wananchi na kushuhudia madhila wanayoyapata katika kile kinachoitwa kuelekea uchaguzi wa marudio

CHANZO: MWANAHABARI HURU
 
Mnapenda sana posho
Sisi wananchi wataka mavadiliko tulitaka mjiuzulu wote bara na visiwani
 
Sijawahi ona chama kikitangaza wabunge wake kujiuzulu ubunge badala ya mbunge mwenyewe kumuandikia spika barua ya kujiuzulu.
 
Hawajajiuzulu nimeongea na Mhe. Sakaya ni Propaganda dhidi yao

Kilichopo ni wabunge wa CUF kuomba ruhusa katika kamati zao na kwenda Znz Kuwasaidia wananchi na kushuhudia madhila wanayoyapata katika kile kinachoitwa kuelekea uchaguzi wa marudio

CHANZO: MWANAHABARI HURU
hapo sawa, ningejua kama ni kweli ningewashangaa maana hakungekuwa na impact yoyote, ila nmewapenda cuf kwa mara ya kwanza wamekuwa watulivu kabisa..
 
Mnapenda sana posho
Sisi wananchi wataka mavadiliko tulitaka mjiuzulu wote bara na visiwani
Wewe ndio haswa mchuma tumbo. Buku saba za lumumba zakufanya upoteze uwezo wa kufikiri na kutafakari. Elimu uliopata haikusaidii tena. Pole sana
 
Hongera mkuu yako ilikusaidia kuzungusha mikono na 2020 itakusaidia kuzungusha kiuno

Maana ndiyo elimu uliyopata
 
Saed Kubenea kupitia mtandao wake kwa kutumia ID bandia ameweka hiyo barua
 
Back
Top Bottom