Kanusho La Kujiuzulu Kwa Wabunge Wa CUF

Hawajajiuzulu nimeongea na Mhe. Sakaya ni Propaganda dhidi yao

Kilichopo ni wabunge wa CUF kuomba ruhusa katika kamati zao na kwenda Znz Kuwasaidia wananchi na kushuhudia madhila wanayoyapata katika kile kinachoitwa kuelekea uchaguzi wa marudio

CHANZO: MWANAHABARI HURU
Whatever is excellent
 
Sijawahi ona chama kikitangaza wabunge wake kujiuzulu ubunge badala ya mbunge mwenyewe kumuandikia spika barua ya kujiuzulu.

mkuu mbona tunajitoa ufahamu haraka hivi? Hamad Rashid; Alifukuzwa uanachama (CUF) na ubunge, ZZK alifukuzwa uanachama (CDM) na ubunge si juzi tu jamani hawa wakawa wabunge wa mahakama?? Acheni hayo. Hatuombi mambo hayo yatokee ila ikibidi
 
Hawajajiuzulu nimeongea na Mhe. Sakaya ni Propaganda dhidi yao

Kilichopo ni wabunge wa CUF kuomba ruhusa katika kamati zao na kwenda Znz Kuwasaidia wananchi na kushuhudia madhila wanayoyapata katika kile kinachoitwa kuelekea uchaguzi wa marudio

CHANZO: MWANAHABARI HURU
Yuletee barua kama tuliyoiona, hayo ni maoni yenu Lumumba hakibadiri kilichopo cha ukweli.
 
Back
Top Bottom