Kanunue wembe

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,851
Likes
22,942
Points
280

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,851 22,942 280
kuna mtoto mmoja alikuwa amepanda juu ya mti
kuangua maembe,wakati yuko bize na maembe,huku
chini,mchungaji akapita,akamuangalia yule mtoto.
akaona hajavaa nguo ya ndani,akamwambia we mtoto
hebu shuka,
yule mtoto aliposhuka,yule mchungaji akampa mtoto shilingi
elfu moja,akamwambia kanunue nguo ya undani uvae.

yule mtoto akaenda kumsimulia mama yake ilivyotokea..

mama mtu kusikia hivyo,akaona kama mtoto amepewa
elfu moja basi ingekuwa yeye mkubwa angepewa pesa nyingi..

kwa hiyo yule mama naye akaenda kukaa juu ya mti
bila nguo ya ndani....
mchungaji kupita pale kutazama juu,akamwambia yule
mama ateremke chini,
kufika chini yule mchungaji akampa yule mama
shilingi mia moja...
akamwambia hebu kanunue wembe ukanyoe......
 

bht

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
10,341
Likes
211
Points
160

bht

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
10,341 211 160
hahaaaaa ze Boss bana na stori zako lol!!!!!!!! thanks man!! umekamilisha jioni yangu na naondoka kwa amani
 

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
4,100
Likes
45
Points
145

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2009
4,100 45 145
Kama mama alikuwa anafuga rasta, au ana suka mitindo kama "twende kilioni, maji ya moto, kilimanjaro nk" au kama aliacha staili ya "mabutu", wembe wa nini???
 

Forum statistics

Threads 1,190,286
Members 451,082
Posts 27,666,571