Kanuni za PSPF kupata kiinua mgongo

IlangiKwetu

Member
Oct 9, 2014
85
33
Heshima mbele wadau,
Tafadhali mwenye kujua kanuni za PSPF kupata,
  • Malipo ya mkupuo.
  • Malipo ya mwezimwezi
Mfano mtumishi mshahara wake wa mwisho ni Tsh 850,000 na katumikia taifa kwa miezi 360 (Miaka 30). Anapata mahela mangapi kwa kutumia hizo kanuni.

Aksante.
 
Back
Top Bottom