Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

Hivi wanawake starehe yetu nn hasa au mm ndo mbahili😀😀au ndo Sina Hela
Lamomy hebu njoo 😀
Mimi starehe yangu nimpe Bi Mkubwa pesa, Yani nikipataga hela kabla sijatumia hata senti nimpe mama Kwanza, halafu inafuatia kula vizuri🤣, Yani mipilau, mibiriani, samaki wa kupaka🤣🤣🤣 Yani nileee🤣
 
Mimi starehe yangu nimpe Bi Mkubwa pesa, Yani nikipataga hela kabla sijatumia hata senti nimpe mama Kwanza, halafu inafuatia kula vizuri🤣, Yani mipilau, mibiriani, samaki wa kupaka🤣🤣🤣 Yani nileee🤣
Hapo sawa kma starehe ya kula hata mm Nimo lakini nipike mwenyew sipend kutoka nipike mwenyew nyumban nawaita watoto wa jirani wale hapo Huwa naenjoy sana
 
Back
Top Bottom