Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Hata ukiinjoi hayo maisha ni kweli kuna kitu unakifaidi hapa duniani? Mimi ni muumini wa tapo la existentialism na naamini kwamba maisha kama maisha sidhani kama yana maana yo yote hata uponde raha zote hapa duniani....Aliyetupangia kifo ndiyo aliharibu kila kitu aisee....