Kanumba ze greit

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,808
59,358
Kanumba kaandaa movie miaka miwili!:first:

MOVIE HII NIMESHOOT MWAKA 2008 ILA KUTOKANA NA TECHNOLOGIA ILIYOKUA INATAKIWA KATIKA EDITING ILI KUPENDEZESHA MOVIE NDIO MAANA IMECHUKUA MDA KUTOKA NAOMBA IELEWEKE HIVYO....

:rolleyes:
 
mhhhh.sijui kwa nini huyu jamaa ananiboa kupita maelezo..........
 
Mi naamini huyu si kanumba kajipa jina la mtu. Hivi Nyie hamna majina. Basi kama unataka la utani Tunga lako. Kama mimi MAGEUZI1992
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom