sis tunaangalia alichokisema na sio tafsiri zako.Ushawahi kumsikia mwanaume anmsifia mwanamme mwenzie kwa kusema "fulani mzuri".hata kwa mwamme ambaye hajasoma hilo neno ni invalid.ungemfundisha kutumia neno "tanashati kabla hajaenda kwenye msiba broo!:rant:ukifika kwa mtu mwemye huzuni kawaida unahuzunika nae kwanza ndipo unamfariji, unaeza kuhuzunika kwa kumwambia (ni kweli alikua mdogo kimri, alikuwa mpole, mwenye kusaidia, mtanashati, n.k
kwa upande wangu, Mhe. Rais alivyosema alikuwa na umbile zuri, ilikuwa na maneno ya kufarijiana tu,
Ukiwa na mtazamo hasi juu ya mtu kila kitu anachofanya au kusema unaweza ona si kizuri.
Sometime lets look/hear things in a positive eye/ear
tatizo liko wapi jamani?
ukifika kwa mtu mwemye huzuni kawaida unahuzunika nae kwanza ndipo unamfariji, unaeza kuhuzunika kwa kumwambia (ni kweli alikua mdogo kimri, alikuwa mpole, mwenye kusaidia, mtanashati, n.k
kwa upande wangu, Mhe. Rais alivyosema alikuwa na umbile zuri, ilikuwa na maneno ya kufarijiana tu,
Ukiwa na mtazamo hasi juu ya mtu kila kitu anachofanya au kusema unaweza ona si kizuri.
Sometime lets look/hear things in a positive eye/ear
hujiamini mpaka wakerwa wenzio wakisifiwa?Mko wengi kumbe!