Kaniwish Valentine, nimeblue tick tu

Kaniwish Valentine, nimeblue tick tu

Nlishamla kama miaka miwili imepita so tukawa tumepotezeana baadae akarudi nikaona poa ngoja tuendeleee ila sasa ndo mapicha picha kama hivi.
Kama ulishamla uchi wake huwa sionagi tabu. Huwa hawasemagi ila hata wao kuchezewa chezewa na kupotezewa huwa inawauma.

Cha muhimu tu wewe uwe ndio ulimuacha. Hapa huwa sifanyagi makosa usisubiri kuachwa
 
Kama ulishamla uchi wake huwa sionagi tabu. Huwa hawasemagi ila hata wao kuchezewa chezewa na kupotezewa huwa inawauma.

Cha muhimu tu wewe uwe ndio ulimuacha. Hapa hiwa sifanyagi makosa usisubiri kuachwa
Huwa najua sana kudefense,So hata kama akiamua kuniacha ni kama nimemuacha tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom