Kaniwish Valentine, nimeblue tick tu

Kaniwish Valentine, nimeblue tick tu

Kama unataka kumla jibu usionyeshe kususa
Kwan kakuomba pesa, be a man
Ipo siku atajichanganya tu, kuna mademu wengine wameumizwa sana so wanakupima hata miezi sita
Nishamla siku za nyuma tukaachana baadae tukawa tumerudiana ila sasa kurudiana kwenyewe ndo huko nshakua mpenzi wa kwenye simu.
 
Unipime miez 6 kwani unanifanyia tafiti ya mapenzi,

Mimi sikubaliani na ww, mwanamke akikuzungusha ni kwamba ana mutu wake, hivyo anakuweka spare.

Siku wakizinguana akajiona hana pa kuanzia ndio file ulilotupwa unatafutwa, wakirudiana siku mbili tu unalimwa blok ilihal ww sasa ushamkabidhisha maini, firigisi, ubongo wa mbele kati na nyuma
Sahihi kaka,haina haja ya unafiki heri ajue kabisa huyu jamaa kamind.
 
Habari wakuu,

Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.

Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.

Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,

Je niko sawa?
Aisee, huu nao uzi!!???
 
No fap nigga acha ujinga nigga
 
Halafu hiyo ilikuwa ni forwaded messsge aliyoaindaa na mmetumiwa kama 15 hivi,

Baada ya hapo anakusanya majibu ya faida na hasara, leo jioni anafunga hesabu
JF ukiwa na stresa zako za mapenz ukaingia humu na kusoma koment kama hiz unaweza kufa kwa presha.

Huu ni ukweli mchungu usiopaswa kusomwa na wenye matatizo ya mapenzi lkn itawabidi wasome hivyo hivyo, itawauma lkn hakuna namna waumie tuu.
 
Habari wakuu,

Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.

Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.

Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,

Je niko sawa?
Usilete kiburi kabla ujapiga
 
Kama mzigo hatoi sasa wa nini? Achana nae
 
Habari wakuu,

Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.

Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.

Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,

Je niko sawa?
Kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom