Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
- Thread starter
- #41
No fap nigga acha ujinga nigga
Yeah wanavokataa ndo siku zinazidi kusogea za project yetu.No fap nigga acha ujinga nigga
Yeah wanavokataa ndo siku zinazidi kusogea za project yetu.Nlishamla kama miaka miwili imepita so tukawa tumepotezeana baadae akarudi nikaona poa ngoja tuendeleee ila sasa ndo mapicha picha kama hivi.Usilete kiburi kabla ujapiga
Sahihi.Kama mzigo hatoi sasa wa nini? Achana nae
Hawa wajinga ni kuwakazia hvyo hvyo,toa zawadi pale unapotaka na sio kulazimishwa mara sjui siku ya kuzaliwa nipe zawadiMimi kuna mmoja kanitext ananiuliza nimemuandalia nini kama zawadi ya valentine, nmemjibu upendo. Kajibu nimemkasirisha kaaga kalala
Haumwi kaamua tu, labda sina uzito sana kwakeUngekuwa umemuuliza sababu ya yy kutotaka kuonana na we,pengine anakupenda kweli na anatamani kukuona ila anashindwa labda anaumwa hawezi kutembea utajuaje usipo muuliza
Wanazingua sana kwao upendo ni siku ya sikukuu tu, huyu Ke nilimsapoti sana bila hata kumhitaji kimapenzi ila akanihitaji yeye lakini naona ana ufenist ndani yake.Hawa wajinga ni kuwakazia hvyo hvyo,toa zawadi pale unapotaka na sio kulazimishwa mara sjui siku ya kuzaliwa nipe zawadi
Mimi huwa nikiombwa zawadi ndo napanga siku hyo nikamnyandue na simpi kitu,zawadi au hela nampa siku ambayo haitegemei
Ndo maana nimeamua kuchagua kupiga kimyaMdada ukimpa jibu ambalo hakutarajia hasa kwa siku kama ya leo utaishia kukutana na majibu kama "okay",, thanks",, poa",, haya",, sawa"
Upo sahihi, usikubali aone anaweza kukuendesha. Pia unaweza mjibu asante kama ukiona sawa.Habari wakuu,
Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.
Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.
Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,
Je niko sawa?
Kabisa kaka nando aliponiweka saivi,So ngoja nimuwahi kabla sijaonekana namhitaji sana.Upo sahihi, usikubali aone anaweza kukuendesha. Pia unaweza mjibu asante kama ukiona sawa.
Mpotezee akikutafuta ongea naye kidogo stori mbili tatu au kama ni text, text mbili tatu za kujuliana hali basi, sababu umeshajaribu vya kutosha haina haja ya kuendelea kuongeza nguvu.
Mpaka ye mwenyewe alete mada ya kukutana ndio upange kukutana. La sivyo usimuambie kuhusu kukutana.
Kuna wanawake wanataka kugeuza wanaume marafiki zao tu.
PointUnipime miez 6 kwani unanifanyia tafiti ya mapenzi,
Mimi sikubaliani na ww, mwanamke akikuzungusha ni kwamba ana mutu wake, hivyo anakuweka spare.
Siku wakizinguana akajiona hana pa kuanzia ndio file ulilotupwa unatafutwa, wakirudiana siku mbili tu unalimwa blok ilihal ww sasa ushamkabidhisha maini, firigisi, ubongo wa mbele kati na nyuma

Oshey mrUnipime miez 6 kwani unanifanyia tafiti ya mapenzi,
Mimi sikubaliani na ww, mwanamke akikuzungusha ni kwamba ana mutu wake, hivyo anakuweka spare.
Siku wakizinguana akajiona hana pa kuanzia ndio file ulilotupwa unatafutwa, wakirudiana siku mbili tu unalimwa blok ilihal ww sasa ushamkabidhisha maini, firigisi, ubongo wa mbele kati na nyuma

Ameshakusahau kama mlinyanduana maan hukumfanya vzr mkuuNlishamla kama miaka miwili imepita so tukawa tumepotezeana baadae akarudi nikaona poa ngoja tuendeleee ila sasa ndo mapicha picha kama hivi.
Unakuw mpenzi mtazamaji jambo ambalo nalichukia sanaaSahihi.
Pamoja mkuu atanisikia kwenye bombaAchana naye fala huyo,acha kulazimisha lazimisha pisi mbona ziko kibao tuu