Kaniwish Valentine, nimeblue tick tu

Kaniwish Valentine, nimeblue tick tu

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,315
Habari wakuu,

Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.

Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.

Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,

Je niko sawa?
 
Mtego huo, Jichanganye akulie hiyo aftatu yako
 
Habari wakuu,

Kuna binti flani namkubali sana na anajua. Sasa kanigeuza kuwa mpenzi wa kwenye simu tu kila nikimpanga tuonane analeta excuse.

Juzi nikamtega kwa kumuomba tuonane Valentine hii kama kawaida akachomoa kwa kunijibu kwamba hadhani kama itawezekana me nikamjibu tu poa fyn.

Sasa now kantxt whatsapp makopa ya valentine na nimesoma tu nimekausha maana naona haina haja hata ya kumjibu,

Je niko sawa?
Kama unataka kumla jibu usionyeshe kususa
Kwan kakuomba pesa, be a man
Ipo siku atajichanganya tu, kuna mademu wengine wameumizwa sana so wanakupima hata miezi sita
 
Unipime miez 6 kwani unanifanyia tafiti ya mapenzi,

Mimi sikubaliani na ww, mwanamke akikuzungusha ni kwamba ana mutu wake, hivyo anakuweka spare.

Siku wakizinguana akajiona hana pa kuanzia ndio file ulilotupwa unatafutwa, wakirudiana siku mbili tu unalimwa blok ilihal ww sasa ushamkabidhisha maini, firigisi, ubongo wa mbele kati na nyuma
 
Kama unataka kupita jibu utakula siku wanawake hawaeleweki bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom