Kanitapeli, naweza nikamshitaki au imekula kwangu

Thegame

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
2,198
2,000
Njoo Polisi au tupatie namba zake za simu pamoja na za account uliyoweka hela then tupe wiki moja tukupatie Mwizi wako
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,103
2,000
Matapeli yamejaa yanakula hela za watu,wakati vyombo vya usalama vipo kwa ajili yao,usitetereke uliopigwa tukio,sio polisi wote wanapenda rushwa nenda ngazi ya juu kwa rpc na yeye ndio atakupa msaada wa moja kwa moja wa kupa mpelelezi atakaye kusaidia usiogope kufuatilia mali yako,na wewe inakuaje unamwamini mtu uliokutana naye mtandaoni,iwe funzo kwako na kwa wengine.

mkuu ni kweli jamaa nimefahamiana naye kama miaka 3 iliyopita tulikuwa tunawasiliana na tushafanya kazi mbili tatu kimjini mjini kiasi cha kumuamini sana tuu.kwa kuwa first time alinisaidia kuagiza hard disc 1 nikatokea kumuamini nadhani.hakuweza kufanya ujanja kwa kuwa nilikuwa naye bege kwa bege lakini safari hii kwakuwa nilikuwa napishana naye na yy akawa anadai kuwa anamambo mengi nimtumie tuu pesa kwenye acount yake ya barclays then yy atanilipia tu na mm nikaona kwa kuwa tushafahamiana na kuwa kama ndugu flani hivi haina shida nikamtumia.

kumbe ndio nikawa nimeliwa.

nikweli mkuu hakuna binadam wakumuamini
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,103
2,000
Njoo Polisi au tupatie namba zake za simu pamoja na za account uliyoweka hela then tupe wiki moja tukupatie Mwizi wako

mkuu nije kituo gani.aisee itakuwa powa sana.
namba zake zote ninazo sema kuziweka hapa nahisi itakuwa sio sawa sijui sheria za jf zinasemaje juu ya hilo
 
Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
14,944
2,000
Aisee...nitafute mkuu upate haki yako!

Mkuu naomba kwa dhati kabisa umsaidie huyu jamaa maana naona anadhulumiwa live!

Mfuate PM.
Please volunteer kwa hili.

Block a/c yake ya Barclays mapema kesho asubuhi mengine yatafuata.

CC: LEGE
 
Last edited by a moderator:

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,103
2,000
Mkuu naomba kwa dhati kabisa umsaidie huyu jamaa maana naona anadhulumiwa live!

Mfuate PM.
Please volunteer kwa hili.

Block a/c yake ya Barclays mapema kesho asubuhi mengine yatafuata.

CC: LEGE

jina lake halisi ambalo kaandikwa kwenye account yake y barclays ni WILLIAM VITALIS MKUDE

na account number yake ni 0011117805
 
Last edited by a moderator:

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,103
2,000
Njoo Polisi au tupatie namba zake za simu pamoja na za account uliyoweka hela then tupe wiki moja tukupatie Mwizi wako

nitashukuru sana mkuu namba zake ni 0713 464050

0784 163 953
0754 711062

na namba yake ya acount ya barclays ni 0011117805
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,103
2,000
kazi yangu ni kudeal na watu kama wewe....nakupa two days uwe umemalizana na jamaa otherwise nitakufundisha kazi!

nipe details zake za bank na cont zake ndugu ntakusaidia

namba zake 0713 464050
0784 163953
0754711064

anaitwa william VITALIS MKUDE.

acount number yake ni 0011117805
 
Last edited by a moderator:

fisi 2

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
2,282
2,000
William Vitalis Mkude nimesoma nae Maua Seminary. Kaka Mkude pse mseminari mwenzio nakuomba funika hii kitu fasta. Najua Itakuwa mlipishana mahali. Maliza kaka.
 
LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,103
2,000
William Vitalis Mkude nimesoma nae Maua Seminary. Kaka Mkude pse mseminari mwenzio nakuomba funika hii kitu fasta. Najua Itakuwa mlipishana mahali. Maliza kaka.

mkuu hakuna mahali tulipishana au hakuna mahali mm nilienda tofauti na yy alivyokuwa ananiagiza nifanye alinambia pesa niweke kwenye acount yake nikaweka akanambia nimuongezee kwenye m pesa nikamwongezea baada ya hapo akaanza story mara yupo songea mara morogoro mm nikawa mpole.

akanambia kashatuma pesa fresh nisubili mzigo wangu.baada kama ya wiki hivi naulizia kule ulikoagizwa mzigo wananambia hakuna pesa iliyotumwa.
kumuuliza yy akadai benk kunamatatizo.

tokea hapo ndio sound zikaanzia sasa.mara yupo south nikipiga kwa namba yangu kaniblock nikitumia namba nyingine fresh mara hapokei.

akakubali kunirudishia pesa zangu hapo ndio ikawa shida anatoa ahadi mwenyewe mpaka sound zikamwishia maana alikuwa anarusha kama nitampigia j3 yy anadai jmosi ananipa pesa ikifika jmosi simpigii namuacha mpaka j3 anakuja na sound pesa benk hakuna sijui check yake imekuaje.
sound zilivuoisha akaamua kukata mawasiliano kabisaa
 
Job Richard

Verified Member
Feb 8, 2013
3,479

Mrejesho
 
Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
6,480
2,000
[QUOTE="LEGE,

na naamini haki yangu lazima nitaipata tuu hata kama ikiwa ni baada ya 10 yrs kwa njia yoyote ile.

tapeli wangu anaitwa WILIAM MKUDE humu anafahamika kwa id ya Chipukizi

najua hum nimaarufu sana.

mkuu nirudia tena kukwambia kuwa jasho langu kamwe haliwezi kudhurumikaa kama ww unavyofikilia au ulivyofanya.
[/QUOTE]
Pole sana ndugu,ulifanikiwa kupata fedha zako,au mtuhumiwa?
Mimi 2014 yalinikuta kwa memba wa humu ndani,alinipiga fedha za kutosha,alini block mwanzoni,baadaye alibadili namba na kuhama maeneo aliyokuwa akiishi.Mungu si Athumani nilikuja kufahamiana na mdogo wake,ananipa taarifa zake zote na aliko na maisha aliyonayo kwa sasa.
Nafikiria baadaye miaka miwili mitatu ijayo nimshughulikie nikiona inafaa.
Hakurudi tena na ID ya humu ndani labda kama amebadili.
 
Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,644
2,000
wakuu heshima kwenu.nilikuwa naomba msaada wenu kwa hili.
nilikuwa nataka kuagiza mashine ya kuprogram immobilizer lakini mm nilikuwa sina kadi wala acount ya paypal bali kuna mdau ambaye ni member wa hum jf ambaye first time alishawahi nisaidia nikawa nimeongea nae akasema haina shida atanisaidia.

jamaa akadai pesa nimtumie kwenye acount ya baclays nikamtumia kiasi cha laki 4 na elfu 40 baada ya kumtumia jioni akadai kuwa rate ya dola imepanda hivyo nimwongezee pesa mm nikamtumia.kwenye m pesa kiasi cha shilingi 50 elfu.matokeo yake baada ya kumtumia pesa akaanza kunikwepa nikimpigia hapokei.

nikimtumia.sms hajibu.

na now kaamua kuni block kabisa.

ushauri wenu wakuu je ni njia gani au ni namna gani naweza zifuata ili nipate haki yangu??.

na je kama nakwenda polisi nandika statement gani??

au ndio niisahau.

najua ww jamaa utapita tu hapa.
kwa kawa

Nenda kamroge.. mbona dawa ndogo tu.
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
6,527

Ahaaaa,kwa nini usimtaje,maana ni mshenzi
 
snayper

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
275
250

Tupe mrejesho, ulifanikiwa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom