Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,092
- 19,689
Mwislamu gani hali kitimoto? Una uhakika? Mbona huku kwetu tunachuana nao kunyang'anyana vidari vya kitimoto?!ukikusanya masharti yote ya madhehebu ya kikristo unapata uislam(maana kuna wanaokataza pombe kabisa-walokole,kuna wanaovaa kama masista-katoliki na kuchoma ubani,kuna wanaovua viatu,kuna wasiokula kitimoto-wasabato,kuna wanaofunga na kuhiji etc)hivyo vyote kwa pamoja uislam hutekelezwa