Miaghay
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 1,535
- 493
hivi sharifu bado ni mtoto?..tangu miaka ya mwanzoni ya 90 namsikia bado ni mtoto kweli?.Kama kuna muisilamu anayeswali katika ule msikiti unaopakana na hilo kanisa la Riverside la Fr. Nkwera, basi bila shaka atakuwa anaijua vizuri stori ya jinsi mambo yalivyomuendea kombo yule mtoto sheikh Shariff siku alipotaka kutoa muhadhara pale msikitini. Kwa ufupi hakuna kilichokubali mle msikitini na yule mtoto akaufuta mhadhara