Kanisani Pekupeku

Kanisani Pekupeku

Jibu la kitoto katika hoja ya msingi...pitia upya hoja ya bongolala hapo juu.

Pole sn! Unaejua haramu Nguruwe tu wakati pweza wala!
Bongolala hoja yake nyepesi sn na haya ndo majibu yake!
 
Mtu ameuliza kuhusu waumini wa lile kanisa pale Riverside cha ajabu kuna njegele wameanza kuongelea ukristu na uislamu, mtaelimika lini nyie..!?
Noma yani achatu kuna mi mtu hapo haijielewi kabisa utafikiri aliulizwa mambo ya ukristo na uislamu hiyo tunaita" water malon brain"
 
Mungu anaabudiwa katika roho na kweli hata wakisujudu watupu mola anawasikia tu !kwani ukimwomba mungu ukiwa bafun hakusikii?
 
Hujaelewa Uzi wangu,take time to read it carefully
Sasa hapo hujaelewa nini? Alikuambia nani kwamba Kanisa likitambuliwa na papa ndio msingi wa kwenda kwenye utukufu? Tena alikuambia nani kuwa dini ndio inampeleka mtu mbinguni (kwa wale wanaamini kuwa mbingu ipo?) Jitathimini nafsi yako ujiunge uko karibu na MUNGU kwa kiasi gani kwa kutumia matendo yako ya huruma na kuacha zinaa kaka.
 
hahahahahaaaaaa, teh teh teh Hihihihiiiiii, we bwana unawatafuta sasa we ngoja wakusikie!!!!!
 
Hata huku Iringa yupo mmoja anaitwa shemasi Paul.Duh na yeye ni pekuapekua tu!Miguu imepasuka acha kabisa!Hizi dini yatupasa kutafakari kwa kina. Sina hakika kama ukiwa peku ndo unakuwa karibu na roho mtakatifu.
 
Kama kuna muisilamu anayeswali katika ule msikiti unaopakana na hilo kanisa la Riverside la Fr. Nkwera, basi bila shaka atakuwa anaijua vizuri stori ya jinsi mambo yalivyomuendea kombo yule mtoto sheikh Shariff siku alipotaka kutoa muhadhara pale msikitini. Kwa ufupi hakuna kilichokubali mle msikitini na yule mtoto akaufuta mhadhara
 
alafu nasikia pale hawatoi mawaidha asubuhi wanaamsha tu watu alfajiri then kila mtu anaswali kimyakimya nakusepa.
 
ukikusanya masharti yote ya madhehebu ya kikristo unapata uislam(maana kuna wanaokataza pombe kabisa-walokole,kuna wanaovaa kama masista-katoliki na kuchoma ubani,kuna wanaovua viatu,kuna wasiokula kitimoto-wasabato,kuna wanaofunga na kuhiji etc)hivyo vyote kwa pamoja uislam hutekelezwa

Lakini bado vitu kadhaa ili uslam utekelezwe, mfano, wakristu wakianza kujiripua au kuua ili wapate mabikra 72 mbinguni, wakianza kusali pamoja na majini nk
 
ukikusanya masharti yote ya madhehebu ya kikristo unapata uislam(maana kuna wanaokataza pombe kabisa-walokole,kuna wanaovaa kama masista-katoliki na kuchoma ubani,kuna wanaovua viatu,kuna wasiokula kitimoto-wasabato,kuna wanaofunga na kuhiji etc)hivyo vyote kwa pamoja uislam hutekelezwa
Unachokosea ni kuwa unadhani Uislamu ni neno jipya kabisa kwasababu ya kuathirika na kiarabu... hebu katafute maana ya Islam utagundua si swala la kushabikia. Mimi hupendelea sana kusikiliza mahubiri ya kikristo kwa Kiarabu... na kama hukijui utaishia kuamini ni Kiislamu... maneno kama Asalaam Aleikhum, Alah Akbar....nk yanatumika sana
 
Mungu anaabudiwa
katika roho na kweli hata wakisujudu watupu mola anawasikia tu !kwani
ukimwomba mungu ukiwa bafun hakusikii?
ni mungu yupi huyo?
Kila mungu ana taratibu zake za kuabudiwa wewe unalenga utaratibu gan?
 
Back
Top Bottom