YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,033
Ardhi wanapewa wajenge shule hospital na makanisa. Wanaisaidia serikali kutibu kusomesha na kufundisha maadili mema bila kujali imani ya mtu. Wewe ukipewa ardhi ni yako na hawara yako tu haisaidii watu wengi kanisa likipewa ardhi likijenga hospital au shule au chuo kinasaidia watu wengi ikiwemo hata watoto wa hawara au nyumba ndogo ya kike au kiume. Wakipewa wanaisaidia serikali kusaidia wananchi wake pale ambapo haiwezi Kutokana Na ufinyu wa bajetiHili la Kanisa kugawiwa Ardhi si sahihi!