Kwanza nitangaze kabisa Maslahi binafsi kwenye hoja yangu hii. Mimi ni Mkristo na hapa ninaposema "Kanisa" namaanisha mjumuiko wa wakristo na wala sizungumzii "madhehebu". Kwa ivo ninaposema Kanisa namaanisha mjumuiko wa wakristo wote waliomo kwenye madhehebu mbali mbali hapa Tanzania.
Kwa muda mrefu sana madhehebu mbali mbali yamekuwa yakiandaa mikesha ama matamasha ya "amani" kuombea nchi yetu. Jambo la kushangaza haijawahi hata kwa bahati mbaya kutokea kwenye matamasha hayo waandaaji wakawaalika wanasiasa toka vyama vya upinzani kuwa wageni Rasmi. Hao waandaaji wanaposema wanaombea amani wanamaanisha ni dhidi ya wapinzani? Au mungu wao anawaonesha kwamba amani inaletwa na CCM?
Mwezi uliopita ulikuwa ni kama mwezi wa mashindano ya mikutano ya kumuombea Rais John Magufuli. Lakini huwezi kuona wanaokimbizana leo kumuombea Magufuli wakifanya hivyo kwa viongozi wa vyama vya upinzani. Jee vyama vya upinzani viongozi wake hawatakiwi kuombewa ili wapate "ulinzi" wa Mungu. Ama mungu wa Maaskofu si Mungu wa viongozi wa vyama vya upinzani?
Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale tu CCM inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani.
Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?
..nani atawaombea hayo majizi na masaccoss ChademaNani wa kuchagua majizi chadema ??
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Unamaanisha Ngeleja, Chenge, Tibaijuka, na wale waliotajwa kwenye taarifa ya tume ya makinikia?..nani atawaombea hayo majizi na masaccoss Chadema
Wanavutiwa mshiko mkubwa sana na viongozi wa serekali inamaana hujui kama msaidizi wa kardinali pengo na askofu kilain wana kashifa ya wizi wa pesa za umma?Kwanza nitangaze kabisa Maslahi binafsi kwenye hoja yangu hii. Mimi ni Mkristo na hapa ninaposema "Kanisa" namaanisha mjumuiko wa wakristo na wala sizungumzii "madhehebu". Kwa ivo ninaposema Kanisa namaanisha mjumuiko wa wakristo wote waliomo kwenye madhehebu mbali mbali hapa Tanzania.
Kwa muda mrefu sana madhehebu mbali mbali yamekuwa yakiandaa mikesha ama matamasha ya "amani" kuombea nchi yetu. Jambo la kushangaza haijawahi hata kwa bahati mbaya kutokea kwenye matamasha hayo waandaaji wakawaalika wanasiasa toka vyama vya upinzani kuwa wageni Rasmi. Hao waandaaji wanaposema wanaombea amani wanamaanisha ni dhidi ya wapinzani? Au mungu wao anawaonesha kwamba amani inaletwa na CCM?
Mwezi uliopita ulikuwa ni kama mwezi wa mashindano ya mikutano ya kumuombea Rais John Magufuli. Lakini huwezi kuona wanaokimbizana leo kumuombea Magufuli wakifanya hivyo kwa viongozi wa vyama vya upinzani. Jee vyama vya upinzani viongozi wake hawatakiwi kuombewa ili wapate "ulinzi" wa Mungu. Ama mungu wa Maaskofu si Mungu wa viongozi wa vyama vya upinzani?
Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale tu CCM inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani.
Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?
Kwenye ile Ibada ya mazishi Askofu kasema "kuna watu hawana shukrani kwa maendeleo yanayoletwa na serikali ya awamu ya Tano". Hotuba yenye madubwana kama haya kwenye msiba yanamfariji mfiwa kweli? Au "baba'" Askofu naye aliamua kuleta siasa msibani kwa kuwa eti inasemwa kuwa hata Marehemu mwenyewe kabla hajafa alitelekezwa kwa mambo ya siasa vile vile?Mbona unauliza majibu ?
Nimemdharau sana askofu yule , mlokole gani mwongo kiasi kile ?Kwenye ile Ibada ya mazishi Askofu kasema "kuna watu hawana shukrani kwa maendeleo yanayoletwa na serikali ya awamu ya Tano". Hotuba yenye madubwana kama haya kwenye msiba yanamfariji mfiwa kweli? Au "baba'" Askofu naye aliamua kuleta siasa msibani kwa kuwa eti inasemwa kuwa hata Marehemu mwenyewe kabla hajafa alitelekezwa kwa mambo ya siasa vile vile?
Bwana ccm akurehemuEbu ficha ujinga wako hata kidogo itakusaidia.
Maaskofu wa aina ile kwa maombi kwa "serikali" hadi wanagalagala mavumbini!Nimemdharau sana askofu yule , mlokole gani mwongo kiasi kile ?
Kwanza nitangaze kabisa Maslahi binafsi kwenye hoja yangu hii. Mimi ni Mkristo na hapa ninaposema "Kanisa" namaanisha mjumuiko wa wakristo na wala sizungumzii "madhehebu". Kwa ivo ninaposema Kanisa namaanisha mjumuiko wa wakristo wote waliomo kwenye madhehebu mbali mbali hapa Tanzania.
Kwa muda mrefu sana madhehebu mbali mbali yamekuwa yakiandaa mikesha ama matamasha ya "amani" kuombea nchi yetu. Jambo la kushangaza haijawahi hata kwa bahati mbaya kutokea kwenye matamasha hayo waandaaji wakawaalika wanasiasa toka vyama vya upinzani kuwa wageni Rasmi. Hao waandaaji wanaposema wanaombea amani wanamaanisha ni dhidi ya wapinzani? Au mungu wao anawaonesha kwamba amani inaletwa na CCM?
Mwezi uliopita ulikuwa ni kama mwezi wa mashindano ya mikutano ya kumuombea Rais John Magufuli. Lakini huwezi kuona wanaokimbizana leo kumuombea Magufuli wakifanya hivyo kwa viongozi wa vyama vya upinzani. Jee vyama vya upinzani viongozi wake hawatakiwi kuombewa ili wapate "ulinzi" wa Mungu. Ama mungu wa Maaskofu si Mungu wa viongozi wa vyama vya upinzani?
Wakati wa Uchaguzi utawasikia Maaskofu wakitoa salamu za "uchaguzi" kwa kutumia kauli mbiu zinazotumiwa na CCM. Wao "amani na utulivu" ni pale tu CCM inapobakia madarakani. Na baada ya uchaguzi hata kama kuna watu wanadai kudhulumiwa haki yao ya ushindi utawasikia Maaskofu wanasema "tunashukuru mungu" uchaguzi umepita kwa amani.
Hivi msimamo wa hawa viongozi wa Kanisa kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwaje? Au waliamini alichokisema Lukuvi?
Maombi hulenga mtu sio chama mungu hatambui vyama viwe chadema au CCm ukiombea amani unaombea wasimamizi wa amani walioko madarakani kwa kuwataja kwa majina au vyeo ambao kazi yao masaa 24 ni kusimamia amani yaani unaombea amiri jeshi mkuu na wote wahusikao na kazi ya kusimamia amani wakiwemo polisi na majeshi yote ya ulinzi na usalama huhangaiki na bavicha au bawacha
Sasa ndiyo nimeamua kuyaandika!
Sasa hivi viongozi wa dini unafiki tuSasa ndiyo nimeamua kuyaandika!
Tetty halafu ukiwa kanisani sasa wanavyohimiza tutoe sadaka hadi unashangaa. Watu wanawashutumu Wakatoliki lakini hata huku kwa wengine kuanzia Lutheran hadi wale walokole wa Petekoste nao ni kama vile wanaamini mungu wao kaiteremsha CCM itawale Tanzania.
Umewahi kusikia Kanisa wanashutumu CCM wakisema kwamba watatawala Tanzania miaka mia ijayo?