Kanisa la tag lachoma moto pesa

Race

New Member
Jan 2, 2011
2
0
Kanisa la tag mwanza , liloko nyegezi mwanza linaloongozwa na mchungaji mbuke, leo wamefanya ibada ya kuteketeza pesa kwa moto kwa madai ya kua bwana atasikiliza maombi yao. Waumini wengi wameshiriki ibada hiyo ambayo inaendelea hadi hivi sasa. Hii ni mbaya ya 2011
 
Huyu mtoa mada hajaeleza vyema kwa undani. Habari hii hiko kiudaku zaidi kuliko kihalisia!! Walikuwa wanaomba nini ili Bwana awajibu kwa kuchoma hizo fedha? Maombi yao yanauhusiano gani na fedha?? Binafsi naona kama uzushi tu!!!
Ebu eleza vyema ili tuchangie hoja hii kuliko kuizusha zusha tu bila mantinki
 
Hii kali !, kama habari hii ni kweli, itabidi washughulikiwe kisheria. Pia waamini wawe macho isije kuwa ni yule KIBWETERE wa uganda kahamia hapo mwanza !!?
 
Hata kama kila mtu ana uhufu wa kuabudu hii sasa imevuka mipaka hawa ndo wale biblia inaowataja kua MANABII WA UONGO hawana tofauti na wasabato masalia. Watu kama hawa wanatakiwa wachapwe viboko maana wanazidi kulisababishia taifa umasikini. Ukisikia "religion is an opium of the people" hapo ndo inafanya kazi.
 
Na wewe nae! Umeletewa tu udaku hakuna hata source wala ushahid ushaanza!
 
Kanisa la tag mwanza , liloko nyegezi mwanza linaloongozwa na mchungaji mbuke, leo wamefanya ibada ya kuteketeza pesa kwa moto kwa madai ya kua bwana atasikiliza maombi yao. Waumini wengi wameshiriki ibada hiyo ambayo inaendelea hadi hivi sasa. Hii ni mbaya ya 2011

Habari haina hata chanzo tutaaminije? Lete chanzo bana!
 
vioja vinaibuka kila uchao! lakini Mungu atatuhifadhia masalia ya wamchao kwa roho na kweli. tusiache kuiombea nchi yetu
 
Kanisa la tag mwanza , liloko nyegezi mwanza linaloongozwa na mchungaji mbuke, leo wamefanya ibada ya kuteketeza pesa kwa moto kwa madai ya kua bwana atasikiliza maombi yao. Waumini wengi wameshiriki ibada hiyo ambayo inaendelea hadi hivi sasa. Hii ni mbaya ya 2011

source plz, harafu mjulishe IGP
 
Back
Top Bottom