Watawa wa Anglican walinunua watumwa waliokuwa sokoni na kuwapa Uhuru. Wengi hawakukumbuka walikotoka ila walifahamu walitoka Bara. Walirudishwa na kuanza makazi kwenye mission mpya za Anglican.Historia kama hizi huwezi kuzipata kwa yule mjukuu wa dully Sykes mzee wa kuhujumiwa.
#MaendeleoHayanaChama
Hili inabidi aulizwe Askofu KilainiSamahani naomba kuuliza hizi sehem kama Zanzibar&Bagamoyo wakristo ni wachache sana na wakati makanisa ya kihistoria yameanzia uko?nauliza nipate maarifa
Asante kwa historia hii..Watawa wa Anglican walinunua watumwa waliokuwa sokoni na kuwapa Uhuru. Wengi hawakukumbuka walikotoka ila walifahamu walitoka Bara. Walirudishwa na kuanza makazi kwenye mission mpya za Anglican.
Hapa umemtaja huyu bwana aliyejenga hili kanisa alikomesha biashara ya utumwa.Huyo bwana Edward Steere ndo inasemekana alikomesha biashara ya utumwa.. alikufa na kuzikwa ndani ya Hilo kanisa
Hapa unadai kanisa kutumika kuhifadhi watumwa.....huoni kama umejichanganya?Namaliza Kwa kusema hawa jamaa Dini walituletea ili iwe rahisi kututawala.. haiwezekani kanisa liwe mahali ambapo ndo watumwa wanahifadhiwa kwaajili ya kwenda kuuzwa yani
Kwenye Hilo kanisa Jengo jingine kuna recruitment portal.. hujawahi fika hapo nin?Hapa umemtaja huyu bwana aliyejenga hili kanisa alikomesha biashara ya utumwa.
Hapa unadai kanisa kutumika kuhifadhi watumwa.....huoni kama umejichanganya?
Mbona kuna wanaosema waingereza walikomesha biashara ya utumwa hapo Zenji kwa nguvu kwani ilikuwa jahazi likikamatwa limebeba watumwa litazamishwa na wamiliki wake kuchukuliwa hatua kali.Kwenye Hilo kanisa Jengo jingine kuna recruitment portal.. hujawahi fika hapo nin?
Wenyewe wanadai baada ya Edward Steere kufika ndo alikomesha hiyo biashara.. wewe unaamini?
Hizo zilikuwa ni harakati za kundi moja kujisafisha..Mbona kuna wanaosema waingereza walikomesha biashara ya utumwa hapo Zenji kwa nguvu kwani ilikuwa jahazi likikamatwa limebeba watumwa litazamishwa na wamiliki wake kuchukuliwa hatua kali.
BaGamoyo Kuna Wakristi wengi saana,na ndio wanautawala Mji!Samahani naomba kuuliza hizi sehem kama Zanzibar & Bagamoyo Wakristo ni wachache sana na wakati makanisa ya kihistoria yameanzia uko? Nauliza nipate maarifa
Kwa hiyo kanisa,lilishiriki biashara hii,kwa kununua watumwa.Japo waliwaachia huru,lakini manunuzi yalifanyika.Kwa maana biashara ni baina ya pande mbili ya muuzaji na mnunuzi,bila kujali kuwa mnunuzi ni mlaji wa mwisho,bado anahesabika alishiriki katika biashara.Watawa wa Anglican walinunua watumwa waliokuwa sokoni na kuwapa Uhuru. Wengi hawakukumbuka walikotoka ila walifahamu walitoka Bara. Walirudishwa na kuanza makazi kwenye mission mpya za Anglican.
Biashara ilifanyika for a good courseKwa hiyo kanisa,lilishiriki biashara hii,kwa kununua watumwa.Japo waliwaachia huru,lakini manunuzi yalifanyika.Kwa maana biashara ni baina ya pande mbili ya muuzaji na mnunuzi,bila kujali kuwa mnunuzi ni mlaji wa mwisho,bado anahesabika alishiriki katika biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unalisifia kanisa kukomesha biashara ya utumwa ilhali biashara ya utumwa iliendelea kwa miaka mia tano na kanisa likiwepo na halikukemea. Biashara ya utumwa ilikomeshwa kwa sababu ubepari uliona haikuwa na manufaa yoyote.Hapa umemtaja huyu bwana aliyejenga hili kanisa alikomesha biashara ya utumwa.
Hapa unadai kanisa kutumika kuhifadhi watumwa.....huoni kama umejichanganya?
Kumbuka kwa Africa mashariki, Wazungu hawakufanya biashara ya Watumwa, waliofanya hiyo ni Waarabu; kwenye historia, tunasoma kwamba biashara ya utumwa kwa Africa, Wazungu waliifanya West Africa na sio huku so kwa mtazamo wangu; kwa kua biashara ya Watumwa huku East Africa ilifanywa na Waarabu na kihistoria pia, waliopiga marufu biashara hi ni Wazungu then Mzungu kujenga kanisa eneo ambalo mwarabu alikua anafugia binadamu wenzie ilikua ni kama kumpa UJUMBE kwamba wewe ni kiumbe katiri, ngoja nibadirishe hilo zizi la binadamu kua sehemu ya kuabudia.Ukilizungumzia hili kanisa bila kumtaja Edward Steere unakuwa unakosea pakubwa.. sababu yeye ndo alifanya design ya Jengo zima, hilo Jengo limeunganisha ujenzi wa tamaduni ya kiislamu na namfumo wa zamani wa ujenzi wa nchi za ulaya hususani Uingereza (Ndipo nyumbani Kwa waanglican)
Chini ya Hilo kanisa kuna upande wa kuingilia kuna maandaki(chamber) mbili ambazo ndipo watumwa walikuwa wanhufadhiwa kabla ya kusafirishwa.. panabewa ndogo mnoo lakini unaambiwa Kwa kipindi hicho ndipo watumwa waliwekwa humo nafasi yake huwezi hata kusimama bila kupinda mgongo.
Huyo bwana Edward Steere ndo inasemekana alikomesha biashara ya utumwa.. alikufa na kuzikwa ndani ya Hilo kanisa hapo mbele kwenye madhabahu Chini ni kaburi lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namaliza Kwa kusema hawa jamaa Dini walituletea ili iwe rahisi kututawala.. haiwezekani kanisa liwe mahali ambapo ndo watumwa wanahifadhiwa kwaajili ya kwenda kuuzwa yani
Ni kama Tu anavyofanya Mwamposa sahivi..
Hebu rejea ulichosoma shuleni kuhusu biashara ya Watumwa Tanganyika; Wazungu hawakufanya hi, biashara ilifanywa na Mwarabu. Nadhani (kwa mtazamo wangu, based on history ) hao Wazungu walijenga kanisa mahali hapo ili kuwaonesha watu kua Waarabu sio wazuri. Lengo lilifikiwa au halikufikiwa, hicho ni kitu kingine.Kwa hiyo kanisa,lilishiriki biashara hii,kwa kununua watumwa.Japo waliwaachia huru,lakini manunuzi yalifanyika.Kwa maana biashara ni baina ya pande mbili ya muuzaji na mnunuzi,bila kujali kuwa mnunuzi ni mlaji wa mwisho,bado anahesabika alishiriki katika biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia baada ya ugunduzi wa viwanda watumwa hawakuwa wanahitajika tena.Unalisifia kanisa kukomesha biashara ya utumwa ilhali biashara ya utumwa iliendelea kwa miaka mia tano na kanisa likiwepo na halikukemea. Biashara ya utumwa ilikomeshwa kwa sababu ubepari uliona haikuwa na manufaa yoyote.