Kanisa la mkandamizaji

Kabla hujamjaji pastor masanja kwanza fanya uchunguzi yeye Kama yeye ana miradi mikubwa ikiwemo mashamba Sasa naona umeamua kumchafua mtumishi wa Mungu siyo vizuri Mungu hapendi
 
Kabla hujamjaji pastor masanja kwanza fanya uchunguzi yeye Kama yeye ana miradi mikubwa ikiwemo mashamba Sasa naona umeamua kumchafua mtumishi wa Mungu siyo vizuri Mungu hapendi

Mtumishi wa mungu Au mpigaji tatizo huna macho ya kiroho,masanja ni mpigaji tuu Na anadili na watu kama nyie kuwalamba izo noti Kwa kua hamjielewi
 
Mjini hakuna mashamba mkuu lazima akili kumckichwa ukilemaa unalima lami.
 
Mjini hakuna mashamba mkuu lazima akili kumckichwa ukilemaa unalima lami.
Haswaaa... mi nashangaa watu wanaomlaumu kwamba ni mpigaji nk. Nyie mnataka aishi vipi hapa mjini? Kijana ameamua kutumia vizuri fursa baada ya kipaji chake cha uchekeshaji kumletea umaarufu akaona ajiongeze aendelee kupiga pesa, nyie mnamlaumu. Angekua kafulia saizi hana mbele wala nyuma, pia mngekuja hapa kumsengenya...!
 
Kuna njia nyingi za kuzifanya hela haramu zitakate
 
Mtumishi wa mungu Au mpigaji tatizo huna macho ya kiroho,masanja ni mpigaji tuu Na anadili na watu kama nyie kuwalamba izo noti Kwa kua hamjielewi
Wewe unataka wale wapi , biblia imeruhusu wachungaji kula vya madabahuni
 
Nilishaapa sitoingia kwenye makanisA ya watu binafsi. Nitaingia ANGLICAN, LUTHERAN, CATHOLIC na PENTECOST lakin sio ujinga wa mjinga fulani kaanzisha kanisa lake nikafuate miujiza ya kununua vitambaa vya baraka na chumvi ya neema
 
Uliondoe Kwanza Boriti la Jicho Lako Ndipo Ukalisafishe Jicho la Nduguyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…