Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 261
stupid people speak language of generalization! Mara wachungaji wa kilokole matapeli mara makanisa yote ya kitapeli...phew! Mtamwaga chuki zenu zote leo. Hahaaaaah! Bwana kiwi namba ndio hizo, nafikiri ni vema ukaongea nao ujue ukweli wa mambo unayoyataka. Hapa kuna watu wamekuja kumwaga sumu za chuki, wana wa ibilisi!
Wewe hapo ulipo unahitaji msaada, bahati mbaya mmekuwa mno wengi ambao mmeingia ujinga bila kufikiri. Mmekuwa kama mmekanyaga mdudu yule anayekufanya upoteze ramani. Na hao matapeli wanajua kwamba mkifumbuliwa macho mtahama, hivyo wanawaagiza kwamba mtu yeyote mwenye fikra tofauti na mafundisho yao ni ibilisi hivyo. Kwa namna hiyo hata ukiambiwa nini utaona kama unaongea na ibilisi.
Nadhani hata hao wazazi walitapeliwa nyumba waliwaona washauri wao kuwa ni ibilisi. Mwisho wa siku hawana nyumba na pesa wamekwenda kukabidhi kanisani? Na kanisa ni nini? Si ni hao matapeli ndio wanaochukua pesa wanakula na kuweka kwenye akaunti na nyie mnaona mmempa mungu pesa?