Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,504
- 113,618
Hii lazima itakuwa ni kazi ya mwovu shetani!.
Pasco
Pasco
Je, kutokea kwa ajali maana yake kuwa Mungu ndo analiadhib hilo kanisa kwa kuwa ni la uongo au wanatenda dhambi?
Kwanini asinge piga radi kwenye club mbalili na kumbi za starehe, au mahala ambapo wanafanya usufska?
je, hata Ayubu alivyo patwa na yale matattizo yake alikuwa anapewa adhabu na Mungu?
unaeza vip kuvaa viatu vya Mungu na kutoa kuconclusion katika jambo lililo tokea?
Tena usikute mchungaji au waumin wa kanisa hilo ni watu wa Mungu na Mungu ameruhusu majaribu?
Soma biblia mkuu, uone walio yapitiaa
Ni kanisa la abandant life christian fellowship ndo limeungua. Lilikuwa makuti style. Radi imepiga likaitika. Poleni mlioathirika. Binafsi nilipita nikaona linateketea.
egentle, Mungu gani munayemhubiri kwenye makanisa yenu. Mumejaa uasherati, unyang'anyi na dhuluma kwa wajane na wasiojiweza. Wachungaji wenu wanajifunza Nigeria namna ya kutumia nguvu za giza kuwapata, kuwapumbaza na kuwaibia. Ni Mungu kasema mubadili muonekano wa Biblia kama walivyofanya pale Pool of Siloam na wakabadili na siku ya ibada toka Jumapili kwenda Jumanne. Ni Mungu gani munayemwabudu ambaye anaruhusu Gwajima afanye uasherati na mke wa Emmanuel Mbasha. Ni Mungu gani ambaye anapenda sadaka tu za watu wenye uwezo wanaotoa malaki na mamilioni kama inavyofanyika pale Efattha, Mama Lwakatare na pale kwa Lusekelo. Ni utapeli mtupu munafanyiwa. Bado kidogo tu mutachomwa moto kama Kibwetere alivyowafanya waganda
Hii lazima itakuwa ni kazi ya mwovu shetani!.
Pasco
Hujui ulinenalo mtu wewe.Wapi imenenwa ya kuwa imani ziko mbili tu? Unajua tafsiri ya Imani kibiblia? Reference yako ni ipi katika hili?Imani ziko mbili tu Roman Catholic na Islam. Ila Biblia inasema watatokea manabii wa uwongo na kuhubiri kwa jina la Mungu. Haya makanisa yanayochipuka kila siku yanamchukiza Mungu. Angalia huyo wa Salasala amejenga kanisa kwa structure ya baa tayari kuanza kuwadhulumu wakristu ambao wanafikiri kuna uponyaji. Hayo ndiyo matokeo yake Mungu wetu aliye hai si wa kumfanyia mzaha.
Ulipenda yawepo mangapi,ili ikupendeze wewe? Btw,"makanisa" unamaanisha nini? Nyingine ni ministries. Kama wewe ni Mkristo utakuwa unaelewa maana ya huduma (ministries), na kwamba zimekuwapo tangu nyakati za Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo.Utitiri wa Makanisa ya 'kilokole' nadhani ni maalumu katika kutimiza unabii na mfumo wa kibepari wa kuchumia tumbo...
Unavouliza ivo kwani yanajengwa kwa ajili ya kunipendeza mie?.Be it a ministry,be it a church ila ukweli unabaki palepale,unabii fake,uchu wa madaraka na ulafi wa sadaka ndio chanzo cha 'watumishi' wengi kufungua nyumba mpya za ibada kila siku kwa kisingizio cha kusambaza neno!!narudia kauli unabii utatimia tu,'injili itahubiriwa duniani kote!',ila pia dunia inatawaliwa na mfumo wa kibepari,viongozi wengi wa makanisa hayo ya 'kilokole',sio wote, ni wajasiriamali kama akina Mangi tu...!Ulipenda yawepo mangapi,ili ikupendeze wewe? Btw,"makanisa" unamaanisha nini? Nyingine ni ministries. Kama wewe ni Mkristo utakuwa unaelewa maana ya huduma (ministries), na kwamba zimekuwapo tangu nyakati za Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo.
Kama ni makashfa hayo hayakosekani,kote kote upendapo iwe Roman Catholic,Lutheran,SDA,Islam,Buddha n.k.
Wewe unadhani kati ya neno "Church" na "Abundant life" lipi lenye uzito,au umuhimu wa kuwepo?Ila hilo jina la kanisa nalo limeniacha hoi " ABUNDANT LIFE CENTRE" yaani hata neno church hakuna dah
Wewe unadhani kati ya neno "Church" na "Abundant life" lipi lenye uzito,au umuhimu wa kuwepo?
@ mwendakulima. Hiyo nyumba nyingine haiko jirani sana kuna kadistance. Pia nadhani imeezekwa kwa vigae. Paa la kanisa ndo limechonga zaidi