Dotto Mnzava
R I P
- Mar 6, 2014
- 864
- 427
Wakuu nimepata simu zaidi ya moja kutoka katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar ues Salaam wakiniambia kuwa wakati mvua ikiendelea kunyesha leo radi imepiga katika Kanisa la Kunduchi Salasala na limeungua lote (haijafahamika kuwa ni kanisa gani).
Tafadhali wenye taarifa juu ya hii taarifa tunaomba atujuze zaidi.
Tafadhali wenye taarifa juu ya hii taarifa tunaomba atujuze zaidi.