Kanisa la Anglikana linatazamiwa kutumia lugha isiyo ya kijinsia kutamka Mungu

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Sonodi kuu ambayo ndio kamati ya juu kabisa ya kanisa hilo duniani inamalizia mchakato wa kutohusisha Mungu na njisia yoyote ili kuleta usawa wa kijinsia, kamati hiyo inamaanisha kuwa kutumia neno la kumaanisha Mungu ni wa kiume pekee haileti ulinganifu

Hivi karibuni kanisa hilo lilitangaza kuwaombea msamaha watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kwa kutokukubaliwa humo kanisani hapo zamani ni limetangaza kuwaruhusu wapenzi wa jinsia moja kufunga ndoa kanisa japo kwa sasa wanaweza kubalikiwa tu.

BBC Swahili

USSR
 
20230131_123413.jpg
 
Lord God of Mercy, invisible and immortal God!!
Alijitambulisha kwa Ibrahim,Isaka na Yakobo kama MUNGU Mwenyezi,akajitambulisha kwa Musa Kama NIKO AMBAYE NIKO,IAM WHO IAM anajidhihilisha kwa Wanaisraeli kuwa yeye ni Yehova, MUNGU Baba,the Father.
Sasa hao mashoga wa ulaya acha waendelee kumdhiaki MUNGU.
1673947880590.jpg
 
Kwahiyo Sasa ile Kwa jina la baba na la Mwana na la roho mtakatifu hakuna tena?

Hapo Anglican watakuwa wamejiondowa kwenye Ukristo, hilo si kanisa la Kristo tena Bali la Freemason.

Msingi wa Ukristo ni utatu mtakatifu, Baba, Mwana na roho mtakatifu, Sasa kama wanamuondowa Baba hilo siyo kanisa la Kristu.

Illuminati.
 
Attachments

  • 3048962_IMG_20211217_181857.jpg
    3048962_IMG_20211217_181857.jpg
    56.6 KB · Views: 6
Anglican nalo ni kanisa? Hilo ni moja ya magenge ya kishetani duniani. Wanabidili nini kwenye maandiko kama si kuleta ushetani? Yaani wanataka Mungu asiitwe MUNGU BABA? Sasa ile sala ya baba yetu uliye mbunguni jina lako litukuzwe itasomekaje? Makundi kama haya ya kishetani duniani ni mengi kila mara huja na mabadiliko ya mafundisho. Lipo kundi kubwa linaongoza dunia na lenyewe linafanya mabadiliko ya sala zake. Hilo kundi kubwa linaelekea kuyaunganisha makundi mengine ili wawe pamoja waje na utaratibu mpya wa kumuabudu mungu
 
Lol Lucifer our Lord.
 
Mwenye kuelewa na aelewe nini kilichopo kwenye magenge haya duniani yaliyojivika ngozi ya kondoo kumbe ndani yao ni mbwa mwitu. Halafu watu hawashituki bado wanakimbilia kuabudu huko. Ndoa za jinsia moja zinafungwa bado watu wanaabudu nao tu, sasa ngoja waletewe sala za ajabu na machapisho mapya ya biblia zao waingizwe kwenye ushetani kwa hayo mafundisho mapya
 
Sonodi kuu ambayo ndio kamati ya juu kabisa ya kanisa hilo duniani inamalizia mchakato wa kutohusisha Mungu na njisia yoyote ili kuleta usawa wa kijinsia, kamati hiyo inamaanisha kuwa kutumia neno la kumaanisha Mungu ni wa kiume pekee haileti ulinganifu

Hivi karibuni kanisa hilo lilitangaza kuwaombea msamaha watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kwa kutokukubaliwa humo kanisani hapo zamani ni limetangaza kuwaruhusu wapenzi wa jinsia moja kufunga ndoa kanisa japo kwa sasa wanaweza kubalikiwa tu.

BBC Swahili

USSR
Uzuri sasa makanisa yako mengi muumini akiona hili lina ujinga anahama anahamia kwingine
 
Kama Kuna Mungu baba hata Mungu mama Kuna uwezekano akawepo
Mwanaume ndie aliumbwa kwanza na mwanaume Mwenzie Mungu baba

Mungu Baba aliumba kwanza dume Adamu

Eva alipokuja duniani alimfahamu tu Adamu

Adamu ndiye akamtambulisha kwa baba yake Mungu Baba yake Yehova

Ndio maana mtume paulo anasema wabawaje wanyamaze kimya Kanisani Mungu kwao alikuwa introduced na Mwanaume hivyo kama wana maswali kuhusu Mungu wakaulize waume zao

Adamu ndiye anajua kuwa Mungu ni Mungu baba sio Mungu mama

1 Kor. 14:34-40 (SUV)​

34. Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.
35. Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.
 
Kama Kuna Mungu baba hata Mungu mama Kuna uwezekano akawepo
Hizo ni fikra tu
.Yesu mtoto wa Kiume mwanae Mungu akipokuja duniani akimtambua Mungu kama Mungu baba sio Mungu Mama hata mitume walipomuomba awafindishe kusali aliwaambia salini sala ya Baba yetu semeni hivi anzeni kwa kusema Baba yetu ukiye Mbinguni .Hakusema ombeni kwa kusema Mama yetu uliye mbinguni

Ndio maana makanisa mengi ya ki protestant wakisali hawamuombi Mama Maria kama wakatoliki Yesu alituagiza tusaki tumuombe baba yake aliye mbinguni sio Mama yake Bikira Maria

Wanafunzi aliwafundisha kuomba kwa baba yake sio Mama yake

Kwa hiyo hakuna cha Mungu mama aliye Mbinguni tunamuomba Mungu baba aliye mbinguni

Huyo Mungu mama wako hayuko kwrnye Biblia na Yesu hakutufunza kuhusu huyo Mungu mama

Hata kabla kupaa alisema napaa kwenda kwa baba sio kwa mama yake
 
Achana na hizo hekaya za wajinga wa kale.
 
Biblia imeandikwa kale
Wewe huyo Mungu mama wako usitumie Biblia iliyoandikwa kale si unajua sheria za copyright

Usije chukua Bible ya King James uka copy ukafanya plagrism kama hujui ni ni
the practice of taking someone else's work or ideas and passing them off as one's own.

Katengenezeni Biblia feki ya huyo mungu feki.wenu mungu mama Yenu sio mnachukua King James version halafu mnabadilisha hapa na pale tutawaburuza mahakamani wajinga nyie andikeni Biblia yenu mpya kabisa sio iliyopo mnachomekea hapa na pale penye Mungu baba mnaandika mama mtatukoma

Huyo Mungu mama wako kaandikeni vitabu vyenu sio kuchakachua Biblia ya kale
 
Sonodi kuu ambayo ndio kamati ya juu kabisa ya kanisa hilo duniani inamalizia mchakato wa kutohusisha Mungu na njisia yoyote ili kuleta usawa wa kijinsia, kamati hiyo inamaanisha kuwa kutumia neno la kumaanisha Mungu ni wa kiume pekee haileti ulinganifu

Hivi karibuni kanisa hilo lilitangaza kuwaombea msamaha watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kwa kutokukubaliwa humo kanisani hapo zamani ni limetangaza kuwaruhusu wapenzi wa jinsia moja kufunga ndoa kanisa japo kwa sasa wanaweza kubalikiwa tu.

BBC Swahili

USSR
Kwa kuwa ni taasisi ya kibinadamu ya Kiingereza/Kifalme,ACHA waote
Hizo ni fikra tu
.Yesu mtoto wa Kiume mwanae Mungu akipokuja duniani akimtambua Mungu kama Mungu baba sio Mungu Mama hata mitume walipomuomba awafindishe kusali aliwaambia salini sala ya Baba yetu semeni hivi anzeni kwa kusema Baba yetu ukiye Mbinguni .Hakusema ombeni kwa kusema Mama yetu uliye mbinguni

Ndio maana makanisa mengi ya ki protestant wakisali hawamuombi Mama Maria kama wakatoliki Yesu alituagiza tusaki tumuombe baba yake aliye mbinguni sio Mama yake Bikira Maria

Wanafunzi aliwafundisha kuomba kwa baba yake sio Mama yake

Kwa hiyo hakuna cha Mungu mama aliye Mbinguni tunamuomba Mungu baba aliye mbinguni

Huyo Mungu mama wako hayuko kwrnye Biblia na Yesu hakutufunza kuhusu huyo Mungu mama

Hata kabla kupaa alisema napaa kwenda kwa baba sio kwa mama yake
 
Kwahiyo Sasa ile Kwa jina la baba na la Mwana na la roho mtakatifu hakuna tena?

Hapo Anglican watakuwa wamejiondowa kwenye Ukristo, hilo si kanisa la Kristo tena Bali la Freemason.

Msingi wa Ukristo ni utatu mtakatifu, Baba, Mwana na roho mtakatifu, Sasa kama wanamuondowa Baba hilo siyo kanisa la Kristu.

Illuminati.
Yaani safari hii Kanisa la Anglican litafutika nchi zote duniani libaki tu huko uingereza wabaki na Mungu mama wao

Uanglikana nchi nyingi duniiani unapumulia mschine ICU nchi nyingi tu

Hiyo hoja itaua uangilikana ulioko ICU hasa nchi za Afrika na Asia na Marekani ambako nchi alizotawala mwingereza uangilikana ulikuwa dominant Big religion

Wanapigilia misumari ya mwisho kwenye jeneza la marehemu Anglican Afrika na Asia na marekani ,Na bara la Australia la bye bye Anglican Church in Africa and Asia
 
Back
Top Bottom