sitafuti public sympathy mzee,hili swala linajulikana marangu nzima,iyo lease nitaiweka apa

Nani kakwambia ni dini hebu nipe maandiko kwenye hiyo biblia yanayosema christianity is a religion kwa taarifa yakokama sio dini ni nini?!! waisilamu acheni kuingilia mambo msioyajua. Mnatokwa povu mdomoni kutetea kitu ambacho huna ushahidi nacho. shame on you
Kesho nitakuja na ushahidi mzima, nimelihusisha kanisa lote maana haya malalamiko kanisa katoliki Tanzania bara wanayo,hii kesi aridhi kilimanjaro na polisi wanaizungushwa sana danadana nyingi hiyo ni dalili tosha ya mazingira ya rushwamkuu umezungumza kitu nyeti sana, lakini je, vyombo vya sheria havikufuatwa kushugulikia hilo suala?,
wewe una uthibitisho gani?,
na mbona umelihusisha kanisa zima, ikiwa ni moja ya taasisi zake ndo zimrhusika?,
lengo lako haswa ni nini, kama siyo kuchafua kanisa?.
mi nikushauri kitu, kama umelileta hili suala hapa JF, basi anika ushahidi wote, na mwenendo mzima wa hilo suala.
pia jua, mimi sipo upande wowote, ila sijapenda, vile umeli present hapa, ni kama umelichafua, maana jukumu lake ni kulinda na kutetea haki za wanadam wote, pia kukemea maovu kama hayo.
sasa nashangazwa na hii taarifa, usilipake matope kama siyo kweli.