Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,929
Naileta Hii Mada kwa masikitiko makubwa kwanza nikiwa Kama mtanzania lakini pili Mkatoliki
Kanisa ni moja ila kwakuwa limetapakaa dunia nzima kila nchi ina uongozi wake kikanisa
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Catholic Church of Tanzania na Catholic Church of drc
Wakati Catholic DRC likijitenga na watawala na kusimamia ukweli kulinda demokrasia na haki za wananchi kanisa katoliki Tanzania linakumbatia watawala linakuwa sehemu ya kusaidia wanasiasa kukandamiza demokrasia
Hebu angalia kilichotokea DRC Kanisa lilisema mapema kabisa kwamba linamjua mshindi na atangazwe huyohuyo kinyume na hapa kwetu CCM imekuwa ikipindua matokeo Mara kwa Mara na Kanisa limekaa kimya bila kusema chochote likisubiri sadaka zetu na upendeleo wa kufutiwa kodi na Serikali
Batumia nafasi Hii kulipongeza Kanisa Katoliki DRC na kulitaka Kanisa Katoliki Tanzania lijifunze kilichofanywa na wenzao wa DRC
Hapa kwetu Janisa linajua uovu mwingi Sana unaofanywa na watawala lakini wamekaa kimya wakitoa matamko yao kesho wakitishwa wanayageuka angalau nawapongeza maaskofu wachache kama askofu niwemugizi anajitahidi
Wito kwenu Kanisa Katoliki Tanzania mmekalia kupanua midomo yenu kusubiri pesa zetu za sadaka jumuia ndogondogo zina michango lukuki mnapenda pesa ila linapokuja swala la kutetea umma mnajiunga na watawala
Aibu na iwe kwenu wategemezi wakubwa nyie kazi hamfanyi mmekalia kusubiri sadaka zetu mkanywee pombe halafu mwakani 2020 mtajiunga Kama kawaida yenu na watawala wanaodhulumu haki za raia!!!
iwafikie
pengo na genge lake