talking about mental health
Acute mental health.
<br />atakua kakupenda kweli au kakutamani like unamwonekano mzury...ila sasa bro, sio kila jani simba anakula
Nilikuwa field wilaya moja siku wiki chache zilizopita,nikiwa kwenye utendaji kuna dada aliniona akavutiwa nami ila sikuwahi kuongea naye. Kuna rafiki yake ambaye nilifanikiwa kufahamiana naye na kubadilishana naye namba ya cmu akanijulisha kwamba kuna m2 anahitaji kuongea na mimi hivyo amempatia namba yangu. Alivyonipigia cm akanieleza ukweli nami nikamwambia nina mpenzi mwingine akanijibu hata kama. Nilipomuuliza rafiki yake akaniambia huyo dada yupo single na alishawahi kupata matatzo ya akili baada ya kuachwa na mpenzi wake. Nifanyaje waungwana? Kumkatalia naogopa acje jihisi hafai duniani na ukichukulia rare in tz mwanamke kumfuata mwanaume kavu kavu!
<br />Nilikuwa field wilaya moja siku wiki chache zilizopita,nikiwa kwenye utendaji kuna dada aliniona akavutiwa nami ila sikuwahi kuongea naye. Kuna rafiki yake ambaye nilifanikiwa kufahamiana naye na kubadilishana naye namba ya cmu akanijulisha kwamba kuna m2 anahitaji kuongea na mimi hivyo amempatia namba yangu. Alivyonipigia cm akanieleza ukweli nami nikamwambia nina mpenzi mwingine akanijibu hata kama. Nilipomuuliza rafiki yake akaniambia huyo dada yupo single na alishawahi kupata matatzo ya akili baada ya kuachwa na mpenzi wake. Nifanyaje waungwana? Kumkatalia naogopa acje jihisi hafai duniani na ukichukulia rare in tz mwanamke kumfuata mwanaume kavu kavu!
safisha nyota kama ndo first time kupendwa!watu hawashangai kupendwa bali wanashangaaa kuchukiwa....Nilikuwa field wilaya moja siku wiki chache zilizopita,nikiwa kwenye utendaji kuna dada aliniona akavutiwa nami ila sikuwahi kuongea naye. Kuna rafiki yake ambaye nilifanikiwa kufahamiana naye na kubadilishana naye namba ya cmu akanijulisha kwamba kuna m2 anahitaji kuongea na mimi hivyo amempatia namba yangu. Alivyonipigia cm akanieleza ukweli nami nikamwambia nina mpenzi mwingine akanijibu hata kama. Nilipomuuliza rafiki yake akaniambia huyo dada yupo single na alishawahi kupata matatzo ya akili baada ya kuachwa na mpenzi wake. Nifanyaje waungwana? Kumkatalia naogopa acje jihisi hafai duniani na ukichukulia rare in tz mwanamke kumfuata mwanaume kavu kavu!
<br />You must be crazy! una GF wako unampenda sasa unaona huruma kwa wale walioumizwa na wapenzi wao?