Kanipenda lakn simfahamu

Semanae taratibu na usisitize msimamo wako kwa upole. Inawezekana asijekuwa mpenzi wako na badala yake akawa mshauri wako au wewe ukawa mshauri wake. Hasa ktk suala la mahusiano inaonyesha ameathirika kisaikolojia. Kama hafai kuwa mwenzi anafaa kuwa rafiki na ipo siku atakufaa japo kwa mawazo. Usimtenge nakuasa Mkuu...! Huwa inatokea-ga ktk maisha hasa ya ujana.

nashukuru mkuu ushauri wako nitaufanyia kazi!

Jambo liko wazi mwambie una mtu wako hata kama ana matatizo ya akili, ina maana tungekuwa tunawakubalia wenye matatizo kwa kuwaonea huruma si ingekuwa balaa kabisa hili

cio kuwaonea huruma but to handle them in the way that they dont end up in psychiatric units.

You must be crazy! una GF wako unampenda sasa unaona huruma kwa wale walioumizwa na wapenzi wao?

imagine ungekuwa ni ww umeumizwa halaf na mwingine akakujibu kav kav! Naomba ushauri namna ya kumhandle ili acjeishia mirembe,kumejaaa!

anapanga kumuumiza mwingine huku akiona huruma kwa aliyeumizwa.

Binadamu wa ajabu sana.

cpangi kumuumiza, lakini natafuta namna ya kumfanya huyu mwingine awe comfotable

anapanga kumuumiza mwingine huku akiona huruma kwa aliyeumizwa.

Binadamu wa ajabu sana.

mtu umekuta tayari mtungi umeshatobolewa ukiachana naye atasema umemuumiza?aliyemuumiza ni aliye mtoboa akamuacha.isitoshe sisi wanaume tunaweza kuoa mke zaidi ya mmoja.hiyo ni riziki yake.muache ale matunda yalojileta.ingekua mimi hamna kuomba ushauri.mia

dogo hebu andika lugha nzuri.

cpangi kumuumiza, lakini natafuta namna ya kumfanya huyu mwingine awe comfotable

mapenzi hayagawanyiki kaka. Usigeuze geuze shingo kama tayari upo katika uelekeo unaoeleweka.

Mwambie kwa upole, na mueleze mnaweza kuwa marafiki, hii inaweza kukuletea matatizo, siku upo pale azania unafunga ndoa kichaa kinapanda anakuja kuleta fujo na kudai wewe ni mumewe,

Mwambie kwa upole, na mueleze mnaweza kuwa marafiki, hii inaweza kukuletea matatizo, siku upo pale azania unafunga ndoa kichaa kinapanda anakuja kuleta fujo na kudai wewe ni mumewe,

thanks,i wil try 2 use the advice

Nilikuwa field wilaya moja siku wiki chache zilizopita,nikiwa kwenye utendaji kuna dada aliniona akavutiwa nami ila sikuwahi kuongea naye. Kuna rafiki yake ambaye nilifanikiwa kufahamiana naye na kubadilishana naye namba ya cmu akanijulisha kwamba kuna m2 anahitaji kuongea na mimi hivyo amempatia namba yangu. Alivyonipigia cm akanieleza ukweli nami nikamwambia nina mpenzi mwingine akanijibu hata kama. Nilipomuuliza rafiki yake akaniambia huyo dada yupo single na alishawahi kupata matatzo ya akili baada ya kuachwa na mpenzi wake. Nifanyaje waungwana? Kumkatalia naogopa acje jihisi hafai duniani na ukichukulia rare in tz mwanamke kumfuata mwanaume kavu kavu!

Kama alishawahi kupata matatizo ya akili una uhakika gani kuwa wakati anakupigia simu alikuwa katika akili yake ya kawaida na siyo kwamba yale matatizo yalimrudia?

Of course fanya kama babu oa wote waili ili uwe na Amani. Mzee huruma zako si njema mbele ya uso wa dunia.

Kama alishawahi kupata matatizo ya akili una uhakika gani kuwa wakati anakupigia simu alikuwa katika akili yake ya kawaida na siyo kwamba yale matatizo yalimrudia?

ninaposema matatzo ya akili namaanisha alipata depression by that time aafu akarudi kwenye normality ila ndo rafki yake kaniambia hakupenda kujihusisha na mahusiano(sina uhakika).hii ni kawaida kwa dada zetu wengi imewakuta hata wanaume pia wengi. What can i do ili kuwa na urafiki ambao hautaleta damage pande zote mbili?

Of course fanya kama babu oa wote waili ili uwe na Amani. Mzee huruma zako si njema mbele ya uso wa dunia.

sio huruma yenye mabaya ndo maana nikaomba ushauri jf maana huku kuna wataalamu wa kila aina wa namna tofauti za kukabiliana na hali ngumu..try kufikiri ungekuwa ni ww umempenda m2 aafu akakutolea nje bila hata kukuhandle kiasi cha kujisikia na we ni mtu wa kawaida ungejickiaje?

Mimi cijawahi pendwa kaka inauma sana mtu unamwambia unampenda alafu anaanza nyodo tena anakupa kavu kuwa sihitaji kuwa na ww a u cio type yangu. Mim niliumia sana... Ila kwa kuwa unaye mwingine du we kaa chin umweleze tu atakuelewa

Nilikuwa field wilaya moja siku wiki chache zilizopita, nikiwa kwenye utendaji kuna dada aliniona akavutiwa nami ila sikuwahi kuongea naye. Kuna rafiki yake ambaye nilifanikiwa kufahamiana naye na kubadilishana naye namba ya cmu akanijulisha kwamba kuna m2 anahitaji kuongea na mimi hivyo amempatia namba yangu.

Alivyonipigia cm akanieleza ukweli nami nikamwambia nina mpenzi mwingine akanijibu hata kama. Nilipomuuliza rafiki yake akaniambia huyo dada yupo single na alishawahi kupata matatizo ya akili baada ya kuachwa na mpenzi wake.

Nifanyaje waungwana? Kumkatalia naogopa acje jihisi hafai duniani na ukichukulia rare in tz mwanamke kumfuata mwanaume kavu kavu!
mkuu sio rare kiasi hicho-mwanamke kumfata mwanaume ni jambo la kawaida sana na daily linafanyika-may be wewe hujawai kupata hizo zali ndio maana unaiona kama golden chance

Back
Top Bottom