Kaniomba Pete ya uchumba ndani ya siku 10

Kaniomba Pete ya uchumba ndani ya siku 10

kfudu

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Kuna msichana mmoja nimefamiana nae kama siku kumi lakini jana kaniuliza swali moja, Je unanipenda nikamjibu ndiyo kwa kusita then kaniambia naomba univisheshe pete ya uchumba nilishuka sana.

Nikamuliza mbona mapema wanajamiiii naombeni ushauri

NB: sijawai kumwita baby, mpenzi wala, hua namwita jina laku
 
Mwambie wenzake tushaitwa mpenzi na booboo na mengineyo na hizo pete hatujaziona,japo walisema wanataka kusettle kuanzisha familia
 
kuna manzi(msichana) mmoja nimefamiana nae kama siku kumi lakini Jana kaniuliza swali moja Je unanipenda
nikamjibu ndiyo kwa kusita then kaniambia naomba univisheshe Pete ya Uchumba ... nilishuka sana.
nikamuliza mbona mapema......
Wanajamiiii naombeni ushauri
NB: sijawai kumwita baby,mpenzi wala hua namwita jina lake.............
Ndoa ngumu sana siku hizi, wala usishangae, anajitengenezea mazingira mapema
 
Hapo kuna mambo mengi. 1. anaweza akawa desparate au 2. anataka kujua mnasimamia wapi hataki kupotezewa muda. Swali: kwani unapoanza kumuita mtu baby na nini ndo kipimo cha penzi!?
 
..mmmhh...kimbiaaaaa....kaaa mbaliiii...!!!
 
makubwaa na ndiyo maana siku hizi masonara wameshawatengenezea tuu mnaenda kuchukua pete zenu za current 18, kila mwanamke anayo kumbe nyingine za kuombwa hivi, mi nilijua inakuja tuu yenyewe tena bila kuiomba, kwahiyo kama anataka uwakika ni pete au ni kwenda kwa wazazi kufanya taratibu zotee?
 
cha kushangaza Anita eti mm Mme wake Mara mpenzi Ongea na mdogo wangu Mara wanakusalimia ndani ya siku kumi dah! nimechoka gafula
 
Kama ukimkubakia ombi lake, uchumba usipovunjika baada ya siku kumi, basi ndoa yenu itavunjika baada ya siku kumi. Well, inategemeana na ipendo wenu . But kwangu mimi, it is too early!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mwambie wenzake tushaitwa mpenzi na booboo na mengineyo na hizo pete hatujaziona,japo walisema wanataka kusettle kuanzisha familia

When it comes to love...u wil never understand.....apo ni kumuomba tu mungu ukutane na aliekupangia mapema ila kibinadam utasaga soli sanaaa....utamaliza viatu pea kwa pea....naomba ujumbe huu utumike kwe thread yako pia
 
Hivi mbona kuomba papuchi hamsemagi kama ni mapema?
mvishe tu pete wiki ijayo uoe kabisa, mwakani mzae...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom