everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hivi mbona kuomba papuchi hamsemagi kama ni mapema?
mvishe tu pete wiki ijayo uoe kabisa, mwakani mzae...
kula like kuuubwaaaaa!!!
Hivi mbona kuomba papuchi hamsemagi kama ni mapema?
mvishe tu pete wiki ijayo uoe kabisa, mwakani mzae...
umeshamto.mba?cha kushangaza Anita eti mm Mme wake Mara mpenzi Ongea na mdogo wangu Mara wanakusalimia ndani ya siku kumi dah! nimechoka gafula
Hahahahaha wewe unafikiri beb ya bureKumbe ukimwita bebi ndo inabidi iambatanishwe na pete