Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Wow bebe kumbe unajua kwenda na vina vya o o o eeh.

Mie ni zaidi ya bando kwako

Nakujaza ujazike kama tigo
Dokta nimeshaingia

Kwenye chumba cha kutibia

Fanya haraka uje baby...
 
[emoji38][emoji38][emoji38] kuwa na mwanaume kafupi uwe na moyo na ww mtafute mfupi zaidi yko mbona wapo
 
Kakukataa kwa kukuambia sababu inayomfanya asikupende, sasa wewe hutaki au?
 
Mkuu usiogope..hawa wasikutishe hapa..tafuta vyuma uone kama huo ufupi utaonekana..
 

Sasa umeshasema kuna ambao wewe huwa unawakataa sasa unaona ajabu gani wewe kukataliwa acha ukuda.Weka na kapicha tuone ni ufupi wa namna gani emoro au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…