Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Boss ufupi si sababu, hiyo inatumika kama kiini macho tu.

Angalia Dr. Regnald Mengi na Jacqueline Mengi. Yani Dr ni kaandunje vby.

Angalia Kevin Hart na Enikko Parrish. Angalia Chrissy Teijen na John Legend.
Angalia Helen Lasichanh na Pharrel
Waone Erica Menna na Bow wow.

Boss tafuta pesa uwe nazo za kumpa na kumpa tena.
 
Mtu akikwambia hivyo anakuwa hamaanishi ni hivyo, kuna kitu anakuwa hajakikubali kwako kwa hiyo anataja kile ambacho anajua huwezi kukibadili ili usimsumbue.

So, kama uko na mindset nzuri unaachana naye maisha yanaendelea.
Huu ndio ukweli
 
Back
Top Bottom