Kanikasirikia kisa sijaenda kulala kwake

Ushauri wangu ni kwamba usilale kwa mwanamke kama wewe sio mlipa kodi. Wewe endekeza kulala kwa mwanamke wakati hausiki na kodi yake, ukipata taabu usije kusema haukuambiwa.​
 

Kama ni kweli unampenda kwa asilimia hizo mi nashauri UMUOE kabisa. Sidhani kama utakuja kupata mwanamke ambae utampenda kiasi hicho. Kwa sisi wanaume ukisema umependa, hapo ujue ni asilimia 20 - 30, hizo 70 zinabaki kwa ajili ya michepuko ambayo hugawana 5%, 10% nk. OA huyo mkuu hautajuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom