Ha ha ha haaaaaaa!! Umeniacha hoi mkuuUshuzi umekutoa ufahamu..
Teeh teheee tena unabahati wewe kuna mwenzako alishushiwa kimba na mambo yenu ya kujitia ufundi ulopitiliza
Aiseeeeee! Nimecheka sana,
Tena nyie mnaopenda kulamba lamba mpk kusiko lambwa, mkitoka na ganda la harage sijui utalimeza?
Heheheheheheeeeeeeeeee watu mnachekesha.