Kaniambia niache Bangi

Kaniambia niache Bangi

KING ASSENGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
929
Reaction score
1,499
"Baby ili tuendelee na mahusiano acha kuvuta bange"" baada ya kuniambia hivyo nikamjibu tu kwa kifupi, ujue mpenzi nikivuta nakuona mzuri kuliko kawaida sio kama nisipovuta halafu nikiacha mchezo wetu wa kitandani sitacheza mpaka ile uombe poo vile.

Baby kwahiyo tulia, kuachika hakupo kwa mjanja 🤣 🤣
 
bc4b8bbe90c30f291ab79d5418b3003a.jpg
 
Me huwa siamini kuacha bangi ndio nipendwe....
Nipende mimi na nikiwa mikononi mwako tumia nafasi yako kunifanya niache ganja....

Ukileta dharau nakwambia me nmeshadate na manzi wakali kuliko wewe na walinikuta na smoke weed.....
So we nenda tu,atakuja bora kuliko wewe na hawezi kuona ganja ni tatizo kwenye maisha yetu.
 
"Baby ili tuendelee na mahusiano acha kuvuta bange"" baada ya kuniambia hivyo nikamjibu tu kwa kifupi, ujue mpenzi nikivuta nakuona mzuri kuliko kawaida sio kama nisipovuta halafu nikiacha mchezo wetu wa kitandani sitacheza mpaka ile uombe poo vile.

Baby kwahiyo tulia, kuachika hakupo kwa mjanja 🤣 🤣
Kati ya bange na demu nani alimkuta mwenzie??? Aliekuja mwishoni ndo aachike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom