Kaniacha licha ya kumnunulia simu ya laki sita na posho ya elfu thelathini kila wiki

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,857
10,129
Iko hivi kuna binti flani hapa kitaani kwangu nilikuwa napiga mzigo. nilimpenda kindakindaki. Moyo wangu na hisia zangu zote zililala usingizi wa fofofo kwake

Sikuwa na ubahiri kwake, Mchizi nilipagawa na uzuri wake, ana bonge la mtrako, halafu anajua kulitumia Kitandani, ni mtundu wa mapenzi kiuno kimejaa shanga za rangi mbalimbali

Nilijitahidi sana kumgharamia kila kilichokuwa ndani ya uwezo wangu kwa sababu nilimpenda. Nilimnunulia Simu ya Laki Sita. Kila wiki nilimpa Shilingi Elfu 30 kwa ajili ya kwenda Saloon

Kila mwisho wa mwezi kidume nilimwaga pesa zote za Mshahara wangu kumfanyia Shopping yeye. Nilikuwa nikimnunulia nguo, viatu na hata mawigi

Nilipenda kumuona anafurahi muda wote, hata mama yangu mzazi kijijini nilikuwa nikimchunia kumpa hela ya matumizi kwa ajili yake. Sasa kazi nimefukuzwa, Demu hanitaki tena, mbaya zaidi kazama penzini na mwana ambaye alikuwa ni Mshikaji wangu sana

Wiki ya juzi nilimtokea ghafla huyo demu uchochoroni, nikampigia magoti nikalia sana ili anihurumie anipe tena penzi lake, lakini Dah nimeambulia kipigo kutoka kwake. Kumbe Demu yupo vizuri sana kimapigano, kanipiga ngumi za kutosha usoni, kanitoa manundu usoni na kunipasua juu ya jicho langu la kushoto,

Kilichofanya niwaombe msaada, juzi kanitumia meseji kaniambia kama nataka anipe uchi wake basi nimfate nikiwa na laki mbili mkononi, kanichanganya, sina kazi naipata wapi hiyo Laki mbili?

Wana MMU tafadhalini, sisi sote ni ndugu wa baba mmoja, Maxence Melo, daima hatuangushani, naombeni msaada wenu, nichangieni hiyo hela niende nikapige mzigo, najua tukiamua jambo letu, inapatikana!

Nisaidieni wakuu, leo kwangu kesho kwenu....
 
Jinsi unavyozidi kumjali mwanamke na ukifikiri unamfurahisha ndivyo anavyokuona mjinga, fal na bwege*
 
Back
Top Bottom