The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 381
sio mwanamke tu bali hata mwanaume. Mtatoka mbali sana, utasimama naye kumtia moyo, utakuwa naye bega kwa bega kumtia moyo ila siku atakayosimama kwa miguu yake, mwanamke wake atakuwa ameshazeeka kwa kubeba shida za mwanamume kila kukicha ivo ataamua kutafuta mwingine huku akikuacha ukilia.Mkuu wanawake wengi huwa wanajisahau sana wanapopendwa tena wakiwa na uhakika wa kutoachwa. Huwa wanadharau na kiburi sana si anajua huwezi kumuacha. Tena kibaya umeshaonesha udhaifu, hata akikuudhi unamsamehe.
Hapo lazima akusumbue tu. Mkuu kwa usalama wa afya yako usije kuthubutu kumuoa huyu mwanamke. Utajuta


