Kaniacha baada ya kukosa kazi

Kaniacha baada ya kukosa kazi

Aliniacha kipindi nimekosa kazi na sikuwa na tegemeo la kupata miaka Mingi imepita kazalishwa anasema nimuowe akiwa tayri kazalishwa japo nami na mtoto Ila naishiaga kucheka tu
 
Nguvu kubwa unayotumia kumuwaza ungeitumia kutaftia kitu ulicho kikosa had akakuacha, punguza kuwa mtumwa wa mapenzi
 
Usisubir kuajiriwa jamaa angu anza mdogo mdogo hata ikiwa kuchoma chips mwisho wa siku utatusua tu na yeye lazima ataolewa na mtu ambae atajutia baadae heri angekua kwako.
kanipa hasira sana maana ntapambana sana kwakweli nimeumia
 
Yaani hawa viumbe wanaoitwa wanawake,dah!!
Bora utie ukweli 40% na uongo 50% kisha 10% weka akiba,,
Maana baada ya interview ungemwambia nimeambiwa muda wowote niwe tayali nitapigiwa simu,hakika huwezi amini hata akiba yake angeanza kukupa ili uweke mambo sawa,na kwenye mambo yetu yale ungepewa mpaka ile ya popo kanyea paa
 
Ulimpata kwa sababu unacho. Ungefuata wa kipato chako kabla ya kazi ucngeachwa.
 
Aliniacha kipindi nimekosa kazi na sikuwa na tegemeo la kupata miaka Mingi imepita kazalishwa anasema nimuowe akiwa tayri kazalishwa japo nami na mtoto Ila naishiaga kucheka tu
asee pole boss
 
Dah kama utani hivi jana kanitext "vipi kuhusu interview ulioenda kufanya?", nikamjibu
"hapana sikufanikiwa" akanitakia usiku mwema wakati si kawaida yake asubuh kanichunia nkamtafuta kajibu text moja tu na kunipotezea sasa hapokei simu wala hajibu text naona ndio nshaachwa mimi dah umasiki huu noma sana . View attachment 1473489
Tafuta pesa braza

Luckman1
 
pole sana mkuu tafuta kazi watakuja wenyewe hao ukishapata.
 
Jamii yetu inakuza kizazi cha ajabu sana cha watoto wa kike wanaojengwa na fikra kuwa mwanaume si wa kusaidiwa bali yeye anatakiwa kusaidia tu.

Na pia zinawajenga watoto wa kike kuwa mwanaume asie na mali si wa kuwa nae. Na wasijethubutu kutafuta na mwanamke hata kidogo.
Natamani hii comment iwe printed kwenye kalenda za mwaka 2021

maana ndio ukweli ambao tuko nao sasa na sijui nani waku.ubadilisha.
 
You should've invested in your fvcking
 
Badala ushukuru kwa kuepushwa na aibu,eti na wewe unaumia.

haya ngoja akuskie akwambie hajakuacha ila anaomba hela ya saloon

uone kama hujatamani bora ingekua kweli kakuacha,mshukuru godi brooo
 
Badala ushukuru kwa kuepushwa na aibu,eti na wewe unaumia.

haya ngoja akuskie akwambie hajakuacha ila anaomba hela ya saloon

uone kama hujatamani bora ingekua kweli kakuacha,mshukuru godi brooo
Facts kawa huru now afanye yake kwa amani aachane na utopolo wa watoto wa kike..!!
 
Natamani hii comment iwe printed kwenye kalenda za mwaka 2021

maana ndio ukweli ambao tuko nao sasa na sijui nani waku.ubadilisha.
Kabisa mkuu. Jamii inashape watu kuwa hovyo halafu baadae inaanza kushangaa hawa watu wanatokea wapi.

Ni sawa na mtu kuachia shuzi lenye harufu kali halafu anaanza kulalamika harufu inatokea wapi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom