Naibu Waziri amesema leo bungeni mjini Dodoma kuwa kauli ya Rais John Magufuli kuruhusu kilimo pembezoni mwa mto watu wakaenda kuvamia vyanzo vya maji, "Kauli ya Rais isije ikapotoshwa wakavamia maeneo na kuanza kulima, hakuna anayeruhusiwa kwenda kwenye chanzo cha maji". Alisema Naibu Waziri Kangi Lugola
Wala hakijanuka...Ila kajijambisha mwenyewe na harufu ameipata mwenyewe.Tetetetete
Huku nako kimenuka
Swissme
Uwe muelewa, ataja kifungu cha sheria kinachomruhusu raisi au waziri muhusika kuruhusu kutumia ardhi iliyopo ktk kingo za mto, kabla hujaandika fikiri kwanza, kuandika hivyo nia yako kuupotosha umma, umwelewe vibaya raisi, basi utaeleweka vibaya ww
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app