Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 12,678
- 19,785
Kinachoendelea inabidi kifanyike kuanzia ngazi ya mtaa kwa wanajamii, Kinachoendelea inabidi kifanywe na wabunge majimboni kwao kwa kukusanya kero za wananchi,
Kinachoendelea kufanywa na CCM sioni tatizo sababu ni propaganda na kampeni na watanzania wanapenda matukio (kwahio haya maigizo huenda ni entertainment kwa watu) ingawa athari zake kubwa za haraka ni mbili:-

- Kutumia kodi zetu (ruzuku) kwa maigizo ambayo huenda hayana tija ya moja kwa moja kwa mwananchi..., (hivyo huenda tunavipa hivi vyama pesa nyingi ambazo wanaweza kuzitumia kwa ulaghai
- Pili watumishi / watendaji wanaoitwa pale na kuhojiwa kwa haraka huenda isiwe haki kwao.., au wale ambao wanaitwa wezi bila kupewa muda wa kujitetea hio huenda ikawa slander....