'Kangaroo' amkula nguruwe!!

'Kangaroo' amkula nguruwe!!

4f10723e34da53d3cd35bf231e6c5c57.jpg
13406dcf60974d61bcec0bd8601c8f7b.jpg


Sasa yule Aborigine kwenye kilima anafanya nini??????
 
Nyani ni mshenzi wa tabia yule mnyama ,kuna kipindi fulani Serengeti tulisahau kufunga madirisha basi wakaingia ndani halafu nadhani alikua anakung'uta kitu sealed kwenye kitanda chetu nikakuta mashuka yana damu ,halafu yenyewe yamekaa kwa mbali yana niangalia huku yana tabasamu kuwafukuza kwa hasira eti anaondoka huku anampiga miti mwenzie sijui ili nione wivu basi anakatika mwenyewe
Ungemuacha binti yako ungekuta wameshamtumbura muda sana,haha subir sasa azae hao ma hybrid
 
Duh! Ukame ukizd ndo maana kina flan wanakulana cku hz maana unakuta madada tunazngua
 
Back
Top Bottom