laki si pesa
Nimependa kiswahili chako, umenikumbusha Tanga weyee! "Nilikukuta haupo"kweli ukimwi hauji kuisha
Nimependa kiswahili chako, umenikumbusha Tanga weyee! "Nilikukuta haupo"
Mimi makao makuu ni Chumbageni, mwenzangu wewe wapi?waka waka , si unajua sisi ni watu wa Tanga Mzeiyaaa