inategemeana na kazi ambayo unafanya, kama ni White color, Blue color au Grease color!!Kigarama, ili kuepuka kunuka miguu (ambayo inasababishwa na fungus). Ofcoz kushare malapa inachangia kiasi kikubwa.
1 usivae pair moja ya kiatu siku mbili mfululizo, kusudi zipate kukauka jasho na kuua fungus if any
2 vaa viatu vya ngozi, achana na mchina lol
3 vaa socks safi kila sikui, na zikifuliwa zianikwe juani kama inawezekana
4 hakikisha unasafisha miguu na brashi laini na sabuni na kuikausha hasa kati kati ya vidole
Note, ukivua socks usizisokomeze ndani ya viatu, unajenga mtambo wa fungus!
inategemeana na kazi ambayo unafanya, kama ni White color, Blue color au Grease color!!
wengi hawapendi kuwa halisia humu JF. tukisema tunaishi Vingunguti kiembe mbuzi au Manzese kwa mfuga mbwa, utasikia wanauliza "ndiyo wapi huko?" Hata uwanja wa fisi hujawahi kupasikia?bhaeleze habho.
Wana-JF ni verry utopian, wanapretend kila kitu.
Mfano, kukiwa na thread ya mambo ya simu hapa, kila mtu atazungumzia iPhone, BB, HTC na zenzake za kabila hilo, hutasikia mtu anasema kuhusu kitochi hapa.
I'm fed up! Juzi ilikuja thread ya kopo la chooni, kila mtu akajifanya halijui.
wengi hawapendi kuwa halisia humu JF. tukisema tunaishi Vingunguti kiembe mbuzi au Manzese kwa mfuga mbwa, utasikia wanauliza "ndiyo wapi huko?" Hata uwanja wa fisi hujawahi kupasikia?
wengi hawapendi kuwa halisia humu JF. tukisema tunaishi Vingunguti kiembe mbuzi au Manzese kwa mfuga mbwa, utasikia wanauliza "ndiyo wapi huko?" Hata uwanja wa fisi hujawahi kupasikia?
We kama uko mtaani sasa hivi njoo tupate kilaji apa naniii. . .Mh siyo wote banaa. kwa mfano mimi sifichi kuwa naishi unga limited arusha. natumia siemens twanga pepeta.
neti naipatia cafe kwenye kompyuta za enzi za pentium..... windows is shutting down!
We kama uko mtaani sasa hivi njoo tupate kilaji apa naniii. . .
Kibaya zaidi huwa zimekatwa alama ya " V" kwa mbele ili usiondoke nazo.
We kama uko mtaani sasa hivi njoo tupate kilaji apa naniii. . .
Duh, wapi hapo Lizzy?
You said it all...
Ila hiyo namba 4.. Wengi wa wanaume hatuwezi.. Tunahisi tunajitekenya.... Kama mimi,narusha kabisa miguu yangu kwa mtekenyo huo..
Hivi hizi kandambili tunazozikuta kwenye nyumba za kulala wageni zikiwa rangi tofauti tofauti, haiwezekani zikawa ndizo zinazosambaza magonjwa yanayosababisha wanaume kunuka miguu?