Kanda ya Ziwa na PhD Feki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanda ya Ziwa na PhD Feki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Feb 24, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Inaonekana mikoa hii inaongoza na wau wenye Phd feki!Hasa kabila la Kisukuma pamoja na uhonest wao,limetoa member wengi wenye Phd feki.What a shame,
  kuharibia sifa ya kabila hili?.
  1.Milton Mahanga Makongoro-Phd feki
  2.Anton Diallo -Phd feki
  3.George Nangale -Phd feki
  4.Raphael Chegeni -Phd feki
  5.John Didas Masaburi -Phd feki

  Kulikoni jamani?
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,489
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Emmanuel Nchimbi, naye fake,
  Mary Nagu
  Mkullo
  Je, hawa wote wanatoka kanda ya Ziwa?
  Give us a break!
   
 3. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du hiki kigingi cha nguvu, unajua hakuna uhusiano wa kirahisi hivyo.
   
 4. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Jasusi ,u kiangalia Nagu ,Nchimbi au Mkulo hawatoki Kanda moja au kabila moja,angalia
  idadi ya hawa wasukuma wenye Phd feki,ulinganishe na watu wote wenye hizi Phd tanzania,utakuta wanaongoza
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,489
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ninakusikia ndugu yangu. Lakini hawa Wasukuma naoni ni uvivu tu mbona shuleni wengi tu walikuwa na akili?
   
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Feb 24, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,301
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Mzee wangu Jasusi naona umeweka kigingi kigumu; hata hivyo kila nikiangalia tena statistics, naona kama ni kweli kuwa kanda ya Ziwa iongoza kwa hizo Ph.D feki. Kumbuka kuwa mtoa mada hakuunganisha wengine kama Profesa Waryoba wa mzumbe na Dr. Deodatus Kamala.

  Mimi ninadhani kuwa tatizo hilo la Ph.D feki lilianzishwa na huyo Profesa Waryoba hapo Mzumbe kwa vile ndiye aliyekuwa Mkuu wa Chuo. Baada ya hapo ndipo feki hizo zikasambaaa na kuingia umoja wa vijana kwa kupitia akina Nchimbi na Kamala. Huko Umoja wa Vijana zikawaambukiza akina Masabauri na Nangale. Masabauri yeye akamwambukiza kaka yake Mahanga, wakati Nangale naye akamwambukiza ndugu yake huyu Dialo. Kwa mtindo huo wa kuambukizana, inawezekana idadi ikazidi kuongezeka kwa kasi zaidi katika hiyo kanda ya Ziwa.
   
 7. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Common denominator wote wametoka st. joseph university au ni wakristo wapende vya kunyonga na kupendelewa
   
 8. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bongo mbona feki nyingi tu na haijalishi ni msukuma au la,mie naona ni ushamba tuuuuuuu mbona mwenzao Magufuri kakamua na kamaliza
   
 9. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Tumaini ,tunazumgumzia Phd feki na sio ukristu !Kama wewe unajioa mwislamu safi,fair enough,
  nakuomba tu usije ukaua watu kwa mabomu,eti kwa kuwa ni wakristu.
  Changia kuhusu feki Phd,sio udini wako wa ki taliban
   
 10. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yaani kama uwezo wako wa kufikiria wote ndio umekufikisha hapo basi umaskini bongo haututoki. What a poor mindset!!
   
 11. M

  Mtata Member

  #11
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa wote si wasukuma, labda kama kutoka kanda ya ziwa inatosha kukufanya uwe msukuma regardles ni kule kwa wauaji au nshomire.
   
 12. m

  mathew2 JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 569
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Hakuna uhusiano wowote wa mtu kuwa Msukuma na kuwa na PhD feki. Sielewi hoja unayotaka kuijenga hapa. Angalia pia wote ni wakristo, unasemaje juu ya hilo? Kwanini hukuandika wakristo na PhD feki? Hilo ni tatizo la mtu bianafsi maana hawakutumwa na kabila. Jenga hoja yenye mantiki
   
 13. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Inaonekana mikoa hii inaongoza na wau wenye Phd feki!Hasa kabila la Kisukuma pamoja na uhonest wao,limetoa member wengi wenye Phd feki.What a shame,
  kuharibia sifa ya kabila hili?.
  1.Milton Mahanga Makongoro-Phd feki
  2.Anton Diallo -Phd feki
  3.George Nangale -Phd feki
  4.Raphael Chegeni -Phd feki
  5.John Didas Masaburi -Phd feki

  Kulikoni jamani?


  Ongezea hapa jamaa wa Maswa, aliyopewa na kina Mukandara...teh ..teh...teh!
   
 14. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makongoro Mahanga na Didas Masaburi ni Wajaluo siyo Wasukuma.
   
 15. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nilisema Kanda ya Ziwa!

  Ongeza akina "Dr" Kamala na mkuu wa mafeki wa Mzumbe at that time:Warioba
   
 16. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha udini, huna hoja........KWENDA ZAKO na parachial mindset yako.
   
 17. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  DoubleOSeven- Wa Maswa ni yupi?
   
 18. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,632
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Huu ugonjwa wa Ph.d feki unaambukiza sana sio hao tu, Norman Sigalla DC wa Siha aliambukizwa huko huko umoja wa vijana na rafiki yake Nchimbi na sasa Sigara inaelekea atamuambukiza Pindi Chana kwani nae yuko mbioni kutaka kuitwa DR. Mambo ndio hayo umoja wa vijana ccm; na ndio maana mafisadi wanawatumia kwa urahisi kufanikisha mambo yao kwani vijana hawa wanapenda njia za mkato!!!
   
 19. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hivi wewe unaijua kanda ya ziwa au unaota mchana mchana????? Kwa taarifa yako kanda ya ziwa ndiyo inaongoza kwa Phd halali na kwa usomi.

  Halafu wewe na standard 7 yako unajua hata maana ya Phd?

  Acha kuandika vitu usivyovielewa wewe...ebo!!!!
   
 20. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Akashube,kanda ya Ziwa inaweza kuwa na Phd nyingi halali ,at the same time kuwa na Phd feki .Sioni hoja yako.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...