Kanda ya Ziwa na PhD Feki

Kanda ya Ziwa na PhD Feki

Status
Not open for further replies.
Michaga mtaacha lini ubaguzi wa ukabila, mijizi msiopenda kula kwa jasho
 
Inaonekana mikoa hii inaongoza na wau wenye Phd feki!Hasa kabila la Kisukuma pamoja na uhonest wao,limetoa member wengi wenye Phd feki.What a shame,
kuharibia sifa ya kabila hili?.
1.Milton Mahanga Makongoro-Phd feki
2.Anton Diallo -Phd feki
3.George Nangale -Phd feki
4.Raphael Chegeni -Phd feki
5.John Didas Masaburi -Phd feki

Kulikoni jamani?
Usilete ukabila Tatizo la Fake Academic Qualifications liko nchi nzima na lilianza kushamiri pale tulipoanza kuajiri kwa kutumia "academic qualifications" kama sharti la msingi katika ajira. Kwa hiyo kila mtu akaanza kwenye "eneo lake" husika; Aliyetaka kuwa mwalimu alifoji Cheti akaingia Chuo cha Ualimu na baadaye akawa mwalimu, Aliyetaka kuwa Lecturer vivyo hivyo. Na hakuna fani nchi hii imeepuka hilo. Ndiyo maana zoezi la kubaini vyeti feki linapaswa kuwa endelevu.
 
Jasusi ,u kiangalia Nagu ,Nchimbi au Mkulo hawatoki Kanda moja au kabila moja,angalia
idadi ya hawa wasukuma wenye Phd feki,ulinganishe na watu wote wenye hizi Phd tanzania,utakuta wanaongoza
Kuna fake moja ya huko huko imebaki naona unazungukazunguka kama vile unataka kuitaja.
 
Inaonekana mikoa hii inaongoza na wau wenye Phd feki!Hasa kabila la Kisukuma pamoja na uhonest wao,limetoa member wengi wenye Phd feki.What a shame,
kuharibia sifa ya kabila hili?.
1.Milton Mahanga Makongoro-Phd feki
2.Anton Diallo -Phd feki
3.George Nangale -Phd feki
4.Raphael Chegeni -Phd feki
5.John Didas Masaburi -Phd feki

Kulikoni jamani?
Una tatizo la ukabila, una matatizo na wasukuma. Post yako imekaa kikabila kabila tu. ..,
 
Inaonekana mikoa hii inaongoza na wau wenye Phd feki!Hasa kabila la Kisukuma pamoja na uhonest wao,limetoa member wengi wenye Phd feki.What a shame,
kuharibia sifa ya kabila hili?.
1.Milton Mahanga Makongoro-Phd feki
2.Anton Diallo -Phd feki
3.George Nangale -Phd feki
4.Raphael Chegeni -Phd feki
5.John Didas Masaburi -Phd feki

Kulikoni jamani?
Nyie hii tabia za ukabila wenu hii mwisho wake sio mzuri ,Angalisa sana ishu ya ukabila huwa mwisho wake mbaya na vizazi pia vinalis
 
Inaonekana mikoa hii inaongoza na wau wenye Phd feki!Hasa kabila la Kisukuma pamoja na uhonest wao,limetoa member wengi wenye Phd feki.What a shame,
kuharibia sifa ya kabila hili?.
1.Milton Mahanga Makongoro-Phd feki
2.Anton Diallo -Phd feki
3.George Nangale -Phd feki
4.Raphael Chegeni -Phd feki
5.John Didas Masaburi -Phd feki

Kulikoni jamani?
We sema CCM wanajua kupika PhD, na hasahasa wa kanda ya ziwa.
 
Inaonekana mikoa hii inaongoza na wau wenye Phd feki!Hasa kabila la Kisukuma pamoja na uhonest wao,limetoa member wengi wenye Phd feki.What a shame,
kuharibia sifa ya kabila hili?.
1.Milton Mahanga Makongoro-Phd feki
2.Anton Diallo -Phd feki
3.George Nangale -Phd feki
4.Raphael Chegeni -Phd feki
5.John Didas Masaburi -Phd feki

Kulikoni jamani?
hee! kuuumbee!
 
Akashube,kanda ya Ziwa inaweza kuwa na Phd nyingi halali ,at the same time kuwa na Phd feki .Sioni hoja yako.
Sasa wewe ya kwako hoja ni hipi? Kwani hujuhi "the better the more"? Impurities nyingi zinaendana na amount ya kitu. Ila usije ukawa kwenu hamkusoma kwa kuogopa umande ukaanza kuwaonea gere waliojitoa kupata elimu.

Ukimaliza make inaonekana unazo statistics nzuri, hebu tupatie za kanda yako ambazo si feki ni ngapi kwa ujumla
 
Wote PhD zao ni feki matatizo ya Tanzania na Rasilimali zilizopo tunazoibiwa hakuna uwiano labda hizo PhD ziwe za kuombea kazi na kutanulia bar sio kutatulia kero za Wananchi...PhD za kumwaga maji tuu yanapotea udzungwa Morogoro Maji baadhi ya maeneo hakuna Dar ndio kabisa sasa sijui hizo Elimu ni za nini...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom